kitabu au mapenzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kitabu au mapenzi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tz1, Mar 16, 2012.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Jamaa alikuwa amekaa kwenye kochi na mkewe.
  jamaa alikuwa anasoma. Kitabu.
  Mara akapitisha mkono. Chini. Kwa mkewe.
  Mkewe akasema,jamani mume wangu una nyege.
  Twende chumbani.
  Jamaa akasema hapana nilikuwa naloeshe kidole iliniweze kufungua ukurasa.
   
 2. mkwapuaji

  mkwapuaji Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Mi nahisi mke wake alifanya ugunduzi ulio makini hasa.
   
 3. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Jamaa anachekesha sana. kufungua kurasa za kitabu kwa juisi ya mkewe! Hatoweza kuendelea kusoma hicho kitabu chake kwa sababu wife keshamtupia smaku kali.Chumbani lazima aende, akasome kitabu tofauti huko!
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tehe tehe watu kwa kujivunga !
   
 5. driller

  driller JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  teh teh teh jamaaa hiii kali asee..! kwa hiyo jamaa alijua kua mambo ya mkewe yameiva sana huku mpaka akataftia maji kwa mkewe....! hahahaaaaa haha haahah
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Haya bana sa alifanikiwa kufungua ukurasa mpya nadhani.
   
 7. M

  M2ru Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  By m2ru
  Duh.. Huyo jamaa anmharas mkewe, kama ni mi huyo wife sikubali, ina maana nonino ya wife ina majimaji kila wakati... Sio mpango bana.. Au mnasemaje wazee..
   
 8. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Moderators msije mkahukumu na wengine wasio na hatia. Mimi sijachangia chochote kwenye thread hii, nimeisoma tu. By the way huyo jamaa kanifundisha kitu.
   
 9. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Stop gender discrimination.
   
 10. M

  Materu Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  imekaa vizuri!
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah jamaa noma
   
 12. M

  Mc Chijui Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahaa..!? Kumbe!!? Naenda kuchukua kitabu changu kwa baba Mwajei.
   
Loading...