Urafiki wa Tanzania na Msumbiji wa kinafiki

balozi wa sasa ni kasha. Hamna kitu mtu unapiga ubalozin unashida mpaka uje usikilizwe mtu amemaliza piga bao la tatu
 
my God yaani hela ya Msumbiji imeshaizidi thamani hela yetu? hii ni aibu kubwa kwa serikali yeu.mwaka 2004 nilikuwa Maputo na buku yetu ilikuwa sawa na meticais 23000.inakuwaje hela yetu inashindwa kuwa stable? au bwana Materu umekosea kidogo?

Kaka wale jamaa hela yao iko juu sana kwa sasa mpaka dakika hii ninavyoandika kukujibu hapa. TZS 59572.89 ni sawa na MZN(meticas) 1000
yaani 1:59.57
sijui tuna tatizo gani hapa kwetu mpaka hela inashuka hivi?
 
ninachowaomba watanzania tuwe wazalen
do,kwa kukosa kwetu uzalendo ipo siku mtu
ataukataa uso wake,kisa mbaya! tunacholal
amika ni kupigwa,kuporwa,kuzalilishwa na
vyombo vya dola vya msumbiji.suala la mtu
kuhonga mwanamke dola 300 ni suala binafsi,lakini askari kuchukua paspoti na
kuichana hata wewe ulioko hm umezalilishw
a! kushikwa sehemu za siri kila saa ni suala
baya hata ingekua somalia
 
Hawa jamaa ndugu zetu wengi tu walimwaga damu kwa ajili ya ukombozi wao, makabuli yamehamishiwa mtwara miaka ya karibuni tuu. But wameshaa sahau. Walitutukuza wakati hou leo wamesahau. Wakishajua wewe ni mtanzania hawakupi hata nafasi ya kujitetea wanajua utawashinda Tns peche nyingi.
Play safe or come back home arawa.

Kuna jamaa alimwambia haya Mzimbabwe haya uliyosema na yule mzimbabwa alisema kwa kifupi: "As a country, you did not set your priorities right "
 
OMG,, ushankatisha tamaa maana kuna mshkaji wangu yupo huko toka bongo, tuliorganise kuanza dili la mbao ye amelifanya kwa mda na limemlipa flan. Lakini kwa ulichoeleza unanifanya nianze kufikiria kubadili maamuzi. All in all poleni kwa yote, kamavipi fikiria uamuzi wa kurudi home.
 
ninachowaomba watanzania tuwe wazalen
do,kwa kukosa kwetu uzalendo ipo siku mtu
ataukataa uso wake,kisa mbaya! tunacholal
amika ni kupigwa,kuporwa,kuzalilishwa na
vyombo vya dola vya msumbiji.suala la mtu
kuhonga mwanamke dola 300 ni suala binafsi,lakini askari kuchukua paspoti na
kuichana hata wewe ulioko hm umezalilishw
a! kushikwa sehemu za siri kila saa ni suala
baya hata ingekua somalia

ndiyo hawa ndugu zetu siku hizi wakotofaut na wamezidi manyanyaso lakin kama ukifuatlia malalamiko na matukio mengi yanatokea mkoa wa Pemba ambapo Ile organisation ya watanzania haina nguvu na iliuwawa na watz wenyewe hasa watu wapemba na askari wanajua kabisa kuwa hakuna mtu wakupeleka report Maputo. Lakin for sure ukijarib fuatlia kimakin utagundua watz ndo tunapewa opportunity kubwa kuliko wageni wengine wote, hata ukiangalia vyombo vya usafir almost vyote tunashikilia sisi. Tuwe wakweli sisi ndo tunajisababishia matatizo hatuna ushirikiano wowote, lait tungekuwa na ushirikiano na kuwa na chama CHA watz chenye nguvu kama cha nampula haya manyanyaso yatakwisha. Kwa mtu asiyejua anaweza dhan unawatetea wamoz lkn la hasha. mwezi uliopita tumekifungua chama chetu upya cha mkoa wa Cabo delgado ningewashauri tujiunge jaman, huwezi ua mbu kwa ukucha mmoja. Kwa ambao hamjui asilimia ya watz wanaoishi mozambique bila ya passport ni karibia robo tatu, pia wale walioko machimboni tusipende tembea na hela nyingi kwenye magari yenu Jaman. Unakuta mtu kwenye gar na usd 100000 we unadhan hata ingekuwa bongo mitaa kama ya nyamongo askari atakuacha?
 
Hv hawa watz waliopo nje ya hawaja jiunga kwnye vyama vya umoja? Maana hii itasaidia sana katika matatizo kama haya. Pili wanapofika nchi husika kibiashara au kimasomo, hawaripoti katika balozi zetu?

Ushauri wangu: 1. Watz waliopo Msumbiji wawasiliane na ubalozi immediately,
2. Waunde chama cha Watz na kuchagua viongozi na ikiwezekana Mwenyekiti awe mmoja wa
maofisa ubalozi wetu hapo ili kurahisisha kushughulikia matatizo yanapotokea
3. Wana JF, tujitahidi kuwasilisha taarifa hii wizara ya Mambo ya nje na ikiwezekana kwa Jakaya ili ku
kunusuru maisha ya watz wenzetu wanao uawa kama mbwa!

Hili limeniumiza sana sana!!!!
 
Acha uongo wewe unataka tukuonee huruma wakati mnafanya utapeli katika nchi ya watu! Askari wa Msumbiji hawataki longolongo wala ufisadi.

Mimi nimefika huko na kuona jinsi baadhi ya wabongo mnavyofanya uhalifu kama ifuatavyo:
  • mnaingia kinyemela;
  • mnafanya utapeli;
  • wezi, majambazi na wasafirishaji wa madawa ya kulevya;
  • mnaharibu maliasili yao kwa kukata misitu ovyo na kuchimba madini bila vibali;na
  • pia mnahusika na usafirishaji wa wasomali na waethiopia wanaozamia Afrika Kusini.
Kwa kweli mnastahili mnayoyapata na kwa kweli mnaathiri watanzania wenzenu wanaofanya shughuli zao kihalali.

Naishauri serikali yetu kuwa wote watakaopatikana na makosa huko na kurudishwa nchini waadhibiwe vikali ili kutoa funzo kwa wote wanaotaka kwenda huko bila kufuata taratibu zilizowekwa!
 
sio tu kufanya biashara tu, pia vibali tuwe navyo, sasa unakuta mtu anafanya biashara ya madini ana passport tu, ukimuulizia kama anakibali CHA biashara hana ukimkagua unamkuta na usd 20000 na inajulikana kabisa hurusiwi toka Nje ya moz na zaid ya usd 5000 na bado anakuja lalamika anaonewa Huyo Huyo unamwambia achangie walau hata mt 200 kwa mwezi anakupiga chenga. Likitokea Tatizo wa kwanza kulalamika. Ndio askari ni wasumbuf lkn utaratib walio nao sasa wewe kama mgen fuata utaratib zao, utaishi vizuri
 
my God yaani hela ya Msumbiji imeshaizidi thamani hela yetu? hii ni aibu kubwa kwa serikali yeu.mwaka 2004 nilikuwa Maputo na buku yetu ilikuwa sawa na meticais 23000.inakuwaje hela yetu inashindwa kuwa stable? au bwana Materu umekosea kidogo?

Wao walioondoa masifuri kama Zimbabwe ndiyo maana hela yao sasa inaonekana ina nguvu!!
 
Back
Top Bottom