Recent content by Maswa

  1. M

    John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    Yaani hawa mafisadi ni noma! Double standard imezidi kwenye bunge letu.
  2. M

    Taarifa ya Msimamo wa CDM Juu ya Uteuzi wa Tume ya Mchakato wa Katiba Mpya

    Jamani kwa nini tunachoka kufikiri? kwa nini udini uchukue nafasi namna hiyo? inanipa mashaka na maendeleo ya nchi yetu kama vijana tunang'ang'ania udini kama hivi! Badala ya kujadili hoja za msingi na zenye kuleta tija badala yake tunajadili eti composition ya time imejaa wakristo...hebu...
  3. M

    Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    Aisee mbona umechemka sana? degree ya Kikwete imetupeleka pabaya! umedhihirisha kuwa hauko makini na unachokinena..nakushauri usome posting za kwenye JF kisha uzitafakari ujibu ikiwa na uhakika wa unachokiandika..usitupotezee muda wa kusoma pumba zako! (Nimei-highlight red kuonyesha kuwa ni...
  4. M

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    magamba ni noma! hata iubu hawana...
  5. M

    Diwani wa kata ya maroroni akataa kusaini mkataba wa uchimbaji visima

    Hakika CCM inadhihirisha kuwa haiko madarakani kwa ajili ya Watanzania..wako kwa maslahi yao binafsi. 2015 CCM tuipige chini haitufaia hata kidogo..wanaturudisha nyumba kimaendeleo! Leo wamefanya hujuma mpaka Mh. lema kuondolewa kwenye ubunge lakini wanatafuta fedheha zaidi kwani Lema atarudi...
  6. M

    Ni rahisi Clinton kuwa Rais wa Tz, kuliko CDM kushinda Arumeru!

    Jamani siasa ni mchez\o mchafu kweli kweli!
  7. M

    Wekeni hapa matokeo ushindi wa CCM

    Siasa inaonekana nin tamu sana! siku zote ccm wanachelewesha kutoa matokeo pale wanapojua kuwa wameshindwa! dalili zingeonyesha ccm kushinda! mpaka muda huu matokeo yangekuwa yameshatangazwa! Magamba yanatakiwa kuisha....
  8. M

    Inasemekana ccm wamerusha ndege mbili kwenda Arumeru saa tano usiku

    Yaaani ni hivi ccm haina lake Arumeru! ukweli ni kwamba sasa hv wanatoa hela sambamba na kuiba kura~!n inasikitisha sana wanaficha kura hata kwenye chupa za chai? ama kweli huyo Sioi wanamdharirisha kutaka ushindi wake upatikane kwenye thermos...
  9. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Acha uzushi ccm haiwezi kushinda katika jimbp hili! itapitwa na CHADEMA kwa asilimia kubwa..
  10. M

    Kuongezeka kwa muda wa kubadilisha taarifa za wateja wa mabenki

    Vizuri ila tambua kuwa peasant mzuri lazima awe na taarifa za nini kinaendelea katika nchi yake hasa ndiyo lengo la jumbe huu kuwekwa wana JF wajue! wewe kama hii taarifa haikuhusu uko primitive sana! Pole sana ndugu yangu....waache inayowahusu waendelee kuhabarishana!
  11. M

    Kuongezeka kwa muda wa kubadilisha taarifa za wateja wa mabenki

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WATEJA WAONGEZEWA MUDA KUREKEBISHA TAARIFA BENKI BENKI Kuu ya Tanzania imeongeza muda wa mwaka mmoja kwa wateja wa benki zote nchini kuboresha taarifa zao kuanzia kesho Machi 15, 2012 hadi Machi 14, 2013. Benki na taasisi zote za fedha zimejulishwa kuzingatia...
  12. M

    Mtoto wa Magufuli (Jesca) afeli form four

    Wana JF tutambue kuwa kufaulu kwa mtoto katika mitihani yake, kuna vitu vingi vyakuangalia na si swala moja la wazazi! Mazingira yana % zake, wazazi wana %, walimu wana % na mtoto mwenyewe ana % zake. Kutokana na hayo makundi si vizuri kuhitimisha kwamba mzazi ameshindwa kumuelimisha mtoto wake...
  13. M

    Kwa anayetafuta kazi!

    Sory nimemaanisha TZS. 50,000/= (Elfu hamsini tu) Mchanganuo wake unategemea kwa wakati huo ni biashara gani unataka kuanza nayo..mf. kuna bishara ya mitumba....silazima uanze na nguo nyingi au viatu vingi...., kunabishara za matunda.......n.k ni nyingine ambazo kwa kiasi hicho...
  14. M

    Je TANESCO wanajitambu?

    Ndugu wana JF, napenda kushiriki nanyi ili kujua namna ambavyo TANESCO wanavyofanya kazi. Kwa mtizamo wangu, naona kama vile hili shirika halina uzalendo na wala moyo wa kuwezesha maendeleo ya nchi. Maana yangu ni kwamba, TANESCO ilitakiwa kuja kuweka umeme kwenye mtaa wetu toka mwaka 2008...
  15. M

    Kwa anayetafuta kazi!

    Kwa wale wote wenye taaluma na wasio na taaluma yoyote napendekeza yafuatayo: 1. Tambua kipaji na mtaji wa asili ulionao. 2. Badili mtizamo wa kimaijsha. 3. Kujitambua wewe na thamani yako katika uzalishaji 4. Kutambua umuhimu wa rasilimali uliyonayo i.e Knowledge and Skills are assets for...
Back
Top Bottom