Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
Nasikia leo hii jaji aliyetoa hukumu ameitwa ikulu, kwasababu kwanini hakutekeleza kama alivyoambiwa? Kumpa adhabu mh Lema ya miaka mi5 ya kutojishughulisha na mambo ya siasa. Naona imekula kwa jaji, hata pata fungu alilohaidiwa.
Jaji yule ni mpuuzi sana hana maana yoyote ile. Inawezekana maana kama angemlima kutojishughulisha na siasa miaka mitano wanajua ni lazima Lema angekata rufaa tu lakini kitendo cha Lema kukataa kukata rufaa ni kutokana na hukumu kumpa loophole wa kujishughulisha na siasa na wanajua akigombea atapeta tu.
Wacha walaumiane wenyewe kwa wengewe maana hawajui saizi waanzie wapi.