Sadaka nzuri ni inayotolewa nyumbani kwanza halafu kwa majirani na baada ya hapo kwa wengine walio mbali.ZZK anasemaje kama kuna sadaka aliyoitoa nyumbani kabla
ya kuipeleka kwingine.
Kama watafanya kura kihalali na wamuweke Prof.Mwandosya........upinzani utapita kilaani tena kwa kusaidiwa na wakongwe na watu maarufu wa chama tawala.Na ujanja ukitumika naona mambo hayatakuwa mazuri.Jingine Prof. Asifanye anatoa hekima ktk bunge kwa kukandamiza upinzani.wananchi wengi ni...
Jamani......!!!!! Mzee Warioba alipigwa,Mzee Lubuva naye anaambiwa achape lapa yaani anadhalilishwa.....jamani hawa wazee wanateuliwa ili wanyanyaswe au ili wafanye kazi???? na wote ni wateule wa Mh.Rais
Ok wakuu wao wameona na watakuja huko maramoja kutatua hilo tatizo kama liko kweli.lakini wachambuzi wa mambo wanasema haiwezekani kabisa kitu hicho kutokea.....anyway ngoja waje wakuu wao na tafadhali uwape ushirikiano kama ni kweli.
UBARIKIWE
Jamani........!!! Mwalimu alifanya mengi sana mazuri wakati wake,na mengine hakufanya,na Mw.hakutaka kuwa Mungu hata siku moja.Wengi wetu tumesoma bure kabisa kwa sababu ya uongozi wake uliotukuka.Sasa hivu munatumia jina ka Mw.kinafiki.Mbona watoto wake hawapewi nafasi ya kumiliki mijimali???
Wabunge wanakomalia viwanja vya ndege vijengwe kwenye majimbo yao....kama kondoa kiwanja cha nini..dada yetu Mh.Mhita.Msosi tunapiga mmoja tu kwa siku..hiyo nauli ya ma bus ni kazi sembuse ya ndege...kilimo anga ilikufa siku nyingi na ndege yake imeoza pale ARK AIRPORT kama nzige au ndege...
Sawa wataweza endapo jeshi la polisi litatoa nafasi za kazi kwa vijana wetu wanaomaliza chuo waliosomea IT na kuwapa mishahara mizuri na kuwaendeleza kimasomo zoezi ambalo linaweza chukuwa zaidi ya miaka 50 kama tutaendelea kuwa na wabunge wa darasa la saba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.