Peter Msigwa aiongoza CHADEMA kushambulia Njombe

Peter Msigwa aiongoza CHADEMA kushambulia Njombe

Msigwa anashinda hapa Njombe bar moja inaitwa TALE na makahaba, huyu sijui mchungaji wa aina gani

laki si pesa;
Weye ni mkewe Msigwa au?? Tatizo la anachokula au anacho kunywa au anapolala inatuhusu nini?? Kama weye ni mkewe Msigwa, ushauri wetu ni kwamba, umemwacha muda mrefu na unajua halali bila kitulizo.
Mpokee Msigwa weye, umsikilize asemayo kwani ni maneno yenye tumaini kwa kila Mtanzania aliye choka kudanganywa. Ati maisha bora kwa kila Mtz, kumbe Bora maisha. Flana na khanga zenye nembo ya mtu ndio zinakusumbua?
Kaushauri tu; Nenda kawasikilize UKAWA wasemayo kwani yatakufungua akili yako mgando.
Tatizo ni kwamba, Pale watu wanaenda wenyewe uwanjani, utangojea malori saana bila kuyaona, ukifuka mkutano umeisha
 
Hivi chadema mnajua kuwa hilo jimbo ndo analokuja kugombea Mzalendo Zito

Eti! Zitto mzalendo aje Njombe hawezi kuthubutu kwani hata huku kwetu Njombe wapo watu makini zaidi ya Zitto ni boraarudi kwao Kigoma akaendelee kuwakomboa watu waliotengwa mafisadi.
 
Hivi chadema mnajua kuwa hilo jimbo ndo analokuja kugombea Mzalendo Zito

Eti! Zitto mzalendo aje Njombe hawezi kuthubutu kwani hata huku kwetu Njombe wapo watu makini zaidi ya Zitto ni bora arudi kwao Kigoma akaendelee kuwakomboa watu waliotengwa na mafisadi.
 
Aje salama , cdm itazidi kuchanua sana tu,just a little while only time will tell
 
Ushajiita laki si pesa utakuwa na akili kichwani wewe zaidi ya matope , wahi Lumumba ukapate buku 7 zako sasa
 
Stan sisi aje yeyote yule just a little while only time will tell
 
Adui mkuu wa act wazalendo ni ufisadi, wanyonyaji ,dhuluma ya demoktasia, unyanyasaji, ukandamizaji, umaskini na viongoz kujifanya miungu watu
 
Hivi MSIGWA si ndio yule Mchungaji Kanjanja? Hakwenda kuongoza ibada ya Pasaka leo kanisani kwake?
 
laki si pesa;
Weye ni mkewe Msigwa au?? Tatizo la anachokula au anacho kunywa au anapolala inatuhusu nini?? Kama weye ni mkewe Msigwa, ushauri wetu ni kwamba, umemwacha muda mrefu na unajua halali bila kitulizo.
Mpokee Msigwa weye, umsikilize asemayo kwani ni maneno yenye tumaini kwa kila Mtanzania aliye choka kudanganywa. Ati maisha bora kwa kila Mtz, kumbe Bora maisha. Flana na khanga zenye nembo ya mtu ndio zinakusumbua?
Kaushauri tu; Nenda kawasikilize UKAWA wasemayo kwani yatakufungua akili yako mgando.
Tatizo ni kwamba, Pale watu wanaenda wenyewe uwanjani, utangojea malori saana bila kuyaona, ukifuka mkutano umeisha

ila unatakiwa ukubali kwamba wehu ndiyo asili yenu.
 
ila unatakiwa ukubali kwamba wehu ndiyo asili yenu.

Akheri niwe mwehu kuliko kuwa zuzu mkimbizana na ubwabwa. Kile ni chakula cha siku moja tu. Akiondoka Nyape ndo kilio chako cha njaa. Akiondoka Msigwa, tayari umefunguka akili yako mgando. Kipi bora? Kwangu bora wehu
 
Msigwa anashinda hapa Njombe bar moja inaitwa TALE na makahaba, huyu sijui mchungaji wa aina gani

Simple minded, 70/% Tanzanians fall under this category! simple minded deals with person's affairs kama vile hapo juu!

Back
Top Bottom