Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

Ndondoo jibu hoja kwa ulinganifu,siasa haitaki hasira kwan mtoa mada amedai hao ndy pekee wanafaa,japo kama ana sifa hakuna anaemzuia..kama wote waona hawafai toa jna la umwonae anafaa ndani ya chama ccm,kumbka hoja inahusu ulinganifu in ccm not otherwise!!
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.

Wewe na nani...??? Nani kakutuma uwasemee watanzania...

Nchemba na January... bado wapo kwenye umri wa tamaa za kijinga.. Urais kwa sasa wasahau kwa miaka 10 hivi ijayo...
 
Mwandosya mgonjwa, Rais ajae ni Lowasa

Mmh, kama Mwandosya ni mgonjwa, basi EL ni matuhuti taabani, maana kulingana na taaarifa....wee acha tu. Sidhani kama mtu anaempendelea EL anaweza kutumia suala la Mwandosya kuwa mgonjwa - kwa kumlinganisha na EL; ni kama kujipiga risasi mguuni wakati ukimlenga adui.
 
Mbaya zaid EL anaongozwa na tamaa yake ya Urais, pamoja na mihela aliyonayao, kwa ujumla hatosheki.
Halafu ana bifu na mzee wa Maogogoni wa sasa.
 
Mojawapo ya vichwa vya magazeti leo,ni kuongezeka kukubalika kwa Professor Mark Mwandosya katika urais .je wadau Huyo anaweza shndana na El katka mbio hizo kw tkt ya Ccm?
Huyu anayeomba huruma ya Mtekaji wake CCM km Mrema...umemsikia alichokuwa akiongoea bungeni siku za karibu...wanashindana na mrema ktk kuomba fadhila za CCM km vile CCM wamewapa mchujo ili wamchukue mmoja
 
Hivi bado watanzania great thinkers wana mtindio wa ubongo wa kuacha ku discuss issues but peopole? Kwa hiyo unategemea kurushusha viwango vyetu vya akili kuanza kumjadili Mwandosya? he is too small katika habari za maisha yetu na nchi hii. Hayo jadili na CCM kwenye chama chenu sisi si wa kwenu mahali pekee tutakapokutana ni kwenye kura na tayari tunjua hatumchague huyo muajiri wako mpya. Can you imagine unalinganisha jambo serious kama uchaguzi wa Rais kwa kutumia maneno ya taarabu, kithen party na kumtoa mwali, nyie lazima mswage maana akili hakuna

Acha kujifanya great thinker wakati kichwa kimejaa tope, sasa unataka tupachike tu mtu kuwa rais bila kumdiscuss??
Kanye ulale!
 
Kama watafanya kura kihalali na wamuweke Prof.Mwandosya........upinzani utapita kilaani tena kwa kusaidiwa na wakongwe na watu maarufu wa chama tawala.Na ujanja ukitumika naona mambo hayatakuwa mazuri.Jingine Prof. Asifanye anatoa hekima ktk bunge kwa kukandamiza upinzani.wananchi wengi ni mashabiki wa wapinzani kwa vile wanasema kweli...angalia kinana anavyopata support kwa kuikandya serikali.
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.

Mwigulu kuna mawili either wewe ndiyo mjinga au wapambe wako ndiyo wajinga kuamini unaweza kuwa rais....
 
Ok...mvuto wa sura au ?mbona naona kama mipasho..jengeni hoja mahususi ili watu ziwajenge na wakat mwngne ukiona huna cha kuchangia kaeni kimya tu...muwe observers!!!
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.

"Unataka" wewe na nani? Ipo siku utatakwa kwa kuwasemea wengine.
 
Back
Top Bottom