[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu madogo wanakudanganya hao et military science?
Dogo anaangalia muvi za kivita ndo analeta uwongo humu
Kazi za usiku changamoto Sana aise, mbu, usingizi, mvua, walozi, na vifaa !!
Nilipo huku daah tunapiga kazi at least group la watu 12 Hadi 22 Sasa mgawanyiko unapotokea hapo Ni kufata ishara na maelekezo tu Maana unaweza jikuta matatizoni !!
Mvua nayo tabu, afu Ni lazima uwe makini muda wowote...
Mkuu, kila kinachofanywa na muumini / binadamu wa kawaida Basi nawao pia hutanya hao viongozi wetu wa dini, uongo wanasema, uchoyo, urafi, uzinzi, kusengenya, roho mbaya tofauti na sisi Ni Hiyo wao wako kidini zaidi hivyo tunawapa daraja la tofauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.