Tuwe wakweli, huyu anaweza kumshauri Rais?

Tuwe wakweli, huyu anaweza kumshauri Rais?

Tupe mfano wa Kiongozi unaye dhani anaweza kuwa na ujasiri wa kimshauri Rais bila kupepesa macho.
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe, anaweza na amekuwa akifanya...
 
Phillipo, kila mmoja anamjua kiongozi wake yukoje kuliko hata sisi nje. Ukiona huyo yuko hivyo ni mawili.
Bosi wake huyo hana simile anaweza kukutapikisha kazi kufumba na kufumbua au yeye ana makosa mengi kiasi cha kumuogopa kuwa jee kamjua?
Eitha kwa yote mawili, jee anaweza kukaa meza moja naye na kumshauri mkuu wake anapoona mambo hayaendi vizuri?
Ndio msingi wa hoja hii mkuu!
sumply ni hivyo vyote.

mtu aliye msafi huwa hamuogopi mtu mzee baba.hata ukichunguza kauli za kusifia sifia na kuimba mapambio ya kusifu zinarenga kupewa shavu jingine au lililopo.

tunatakiwa kutoka kwenye dhana hizo,za kuropoka sababu ya njaa na kukaa kimya sababu tumeshiba.
 
Phillipo, kila mmoja anamjua kiongozi wake yukoje kuliko hata sisi nje. Ukiona huyo yuko hivyo ni mawili.
Bosi wake huyo hana simile anaweza kukutapikisha kazi kufumba na kufumbua au yeye ana makosa mengi kiasi cha kumuogopa kuwa jee kamjua?
Eitha kwa yote mawili, jee anaweza kukaa meza moja naye na kumshauri mkuu wake anapoona mambo hayaendi vizuri?
Ndio msingi wa hoja hii mkuu!
Dodoma kuna matatizo mengi sana kuliko yale yaliyomtoa Dr Kebwe Morogoro. Nahisi huyu alijawa hofu ya kuondoshwa kwenye kiti, sijui kwanini Rais hakuzungukia barabara zinazojengwa jijini Dodoma!
 
Yule mkurugenzi wa Dodoma anaweza kumshauri
 
sasa kama kuna hilizi za hivyo si wasidizi wake wazitafute ili nao wamtie hofu kinashindikana nini tena kama anayo moja wawe nazo nata nane ili akikuona asujudie kabisa mkimzunguka watu kumi mnazo anaachia madaraka kabisa kwa hiari
Hahaha! Akili zingine jamani, nmecheka mpaka basi.
 
Hahaha! Akili zingine jamani, nmecheka mpaka basi.
uniwie radhi kwa hilo ila ninavyodhani hofu hutokana na kutojiamini kwa muhusika mwenyewe na sio Hirizi kama huo bwana anavyodhani ndio maana kuna kozi za kujifunza kuongea mbele watu na namna ya kujumuika na watu mbalimbali, huku unaweza kuteuliwa tu bila kuwa na mafunzo yoyote ya namna hiyo sasa unawezaje kukabiliana au kutoa wazo lako mbele ya RaiS zaidi ya kutetemeka.

kuna taasisi fulani ya serikali nliikuwa kandarasi ya kazi moja mkurugenzi anaogopeka kwa namna ya ajabu sana sembuse rais
kuwa Rais ni hilizi tosha
 
Huyo mbona hata cheti cha form four hana, mitihani ya uwakili hajafanya kuna mtu sasa hapo.
 
Back
Top Bottom