Bongo huwezi kuwa tajiri bila kuwa na mkondo wa wizi na ukwepaji huko huko serikalini Hali halisi ndo hvyo , sasa usitake kutulazimisha tuamini ujinga wako wakat tunajua kila kitu ....!! Kama bongo lako Lina makamasi heri ukae kimya
Tumia limao, kitunguu swaumu na tangawizi , changanya kunywa , kama Hali itazidi Kwa sku mbili basi huo ni ugonjwa mwingine na umekuja Kwa Dalili ya mafua , Kwa uhuni uhuni wako na kupenda nyuzi za ngono hapa jukwaani nakushauri ukienda Anza na kupima Ukimwi
Tatizo timu ina wajuaji wengi hii kila mmoja alitaka sifa , timu ikishakuwa na wajuaji wengi hamna kitu , Kwa mwarabu kila refa atapigwa million 300 , Kama mameloud alivyofanywa , Yanga lazima age nyingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.