HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,250
- 103,369
Kwenye Bunge la Tanzania kuna wabunge 393 ambapo wabunge 264 ni wa kuchaguliwa, yaani wana majimbo, wabunge 113 hawa ni kundi maalumu kwa wanawake tu, kuna wabunge 5 kutoka Zanzibar, kuna wabunge 10 wanaoteuliwa na Rais na kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali, swala langu ni kwa hawa wabunge 128.
Hivi Tanzania tulilogwa na nani? Kwanini tuwe na kundi kubwa lisilowakirisha jimbo lolote?
Wabunge 128 wanakula pesa za Watanzania ambazo zingetumika katika kufanya mambo ya msingi. Kwanini wabunge kutoka Zanzibar waingie bunge letu wakati sisi hatuko kwao?
Kwanini Rais ateue wabunge 10 wasio na majimbo? Je, hatuoni kuwa hawa kwa sehemu kubwa wanasababisha gharama za uendeshaji?
Wabunge hao 128 kwa asilimi 90 hawana mchango wa maana bungeni, mf. Salma Kikwete, yule mama Mwenyekiti wa Bunge na wengine wengi.
Hebu tufikirie tulikosea wapi na tuondoe haya mambo, au tuvumilie?