Recent content by master mind himself

  1. master mind himself

    Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

    Hoja sio ya mtoa uzi,mtoa kanukuu yaliyo andikwa na gazeti la mtanzania,kama unaitaji ufafanuzi nenda ofisi za gazeti hilo au nenda kahoji ufafanuz bungen.
  2. master mind himself

    Inaniradhim kuachana na huyu mwanamke nahisi ananifanyia figisufigisu.

    Huyu Dada anaitwa Enica (mpenzi wangu) nimekuanae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 9 sasa cha ajabu ukitamka neno kufanya mapenzi anageuka mbogo mwanzoni nilivumilia kama miezi mitatu ya kwanza kwa kujua bado mapema sana kunipatia kipapuchi,baada ya miezi mitano nikaanza kuishi nae kigetho...
  3. master mind himself

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Hacha umandazi wewe kipindi wanapiga hizo dili walikuwa awalidhalilishi taifa??kuna watu wamekufa kwa kukosa dawa hospitalini eti nchi haina hela ya kununua dawa kumbe hela zote zipo kwa hao wapiga dili.ndio muda wao kudhalilishwa dunia ijue wezi walio lighalimu taifa hill.
  4. master mind himself

    Tuwaunge mkono wasanii wetu

    Wewe fanya kazi zako upeleke watoto shule,maswala ya wasanii wanatakiwa kufanya kazi zenye uweledi na mvuto kwa mashabi automatically mashabiki watasaport tu kitu kizur wewe unataka kila msanii apewe saport wakati kazi yake hata yeye mwenyewe awezi kuisaport coz mbaya
  5. master mind himself

    Baraza la Mawaziri kusheheni wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Katika coment zote humu ndani yako inamashiko sana ongera mkuu hao jamaa ulio wataja hapo juu hawana sifa kabisa ya ku-run tz
  6. master mind himself

    Baraza la Mawaziri kusheheni wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Umenena mkuu Kama alifeli kuwa hazina ya mungu sasa unataka awe hazina ya taifa lipi? La ccm au?
  7. master mind himself

    Mchumba wangu kaanza katabia cha ajabu

    Kama hana kushinda inamaanisha huwa anakukamata kwenye ukweli siunajua ukweli upunguza nguvu muongo
  8. master mind himself

    Kwa wasio mfahamu Mke wangu Charty ndio huyu hapa

    Toto toto kweli dah mkuu hapo umecheza kama pele sasa yule mzee wa kushitukiza ofisini akimkuta huyu mtoto sianaweza kumpatrasfer ya kazi magogoni
  9. master mind himself

    Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Kura yangu,mkewa wangu,kaka zangu 3 na dada zangu 4,marafiki zangu 12,wafanyakazi wenzangu 30 zote n lowassa
  10. master mind himself

    CCM Wametelekeza Watu Mwanza

    Dah kweli mm mwenyewe nmekutana na wakina mama wanaangaika usafiri wa kurudi igombe...wakawa wanalialia waliambiwa watarudishwa bure igombe wametelekezwa na hawana nauli nikwaonea huruma kwani wengine walikua na watoto wadogo mgongoni ikabidi niwape buku 5..walishukuru ila walinihaidi watampigia...
  11. master mind himself

    Kwa haya ya Mwanza, kuna bomu linatengenezwa

    Hom kuna watoto Wawili wa secondary wakawa wanataka kwenda kwenye mkutano wa magufur nikawauliza nani kawapa ruhusa ya kwenda huko...jibu sasa jana tuliambiwa na walimu tuende..nkapiga mkwala hakuna kwenda hakwenda mtu
  12. master mind himself

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Hafai kuwa rais uyo atauza ikulu
  13. master mind himself

    Picha: Lowassa Kanisani Leo

    Lizaboni achana na maisha ya kukalili hayata kusaidia
Back
Top Bottom