Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

Kodi italipwa na mpangaji bado wenye nyumba watapeta jiandaeni tu kodi itapanda wazee hamieni kimara nyumba bei chweee hameni huko kino kijito miko nk nk
 
mimi nimepanga frem kariakoo mika mitano, mwenye frem /mwenye nyumba anatoza kodi laki tatu kwa mwezi mkataba anaandika laki moja au elfu 80 alafu with holding taxi anakutoza kodi anaenda tra kukatia kodi mktaba tra anapta rist kwa mlipa kodi 9999999 sijui hii ni namba ya nini, kwa kweli ni wizi mtupu
 
Acha upumbavu, umeshawahi kudeclare interest kwenye uzi wowote humu kwamba wewe ni Buku 7 na hiyo Buku 7 ndiyo inayokupa kula yako ya kila siku na mahali pa kulala? Hizi pumba zako peleka lumumba siyo humu.

Katika uzi huu, inafaa kabla hujachangia unadeclare interest kwanza kama wewe ni mpangaji ama mwenye nyumba. Mleta uzi bila shaka ni mpangaji kwa kadri alivyoandika maana kwa malipo ya Ufipa mpaka ujenge nyumba itachukua miaka 50
 
Huu si utoto bali ujinga na ulimbukeni!
 
Sasa unadhani shida itakuwa kwa mwenye nyumba ama mpangaji? Bei elekezi haijawahi kuzaa matunda nchini hivyo sihitaji kufikiri juu ya hilo!
Wamewahi kuweka bei elekezi kwenye vifaa vya ujenzi hadi wawe na bei elekezi kwenye pango!? Hakika hii nchi inafurahisha sana!!
 
Wamewahi kuweka bei elekezi kwenye vifaa vya ujenzi hadi wawe na bei elekezi kwenye pango!? Hakika hii nchi inafurahisha sana!!
Haiwezekani unadaiwa ada ya watoto unaamua kupandisha kodi,haiwezekani unataka kununua flat screen unapandisha kodi,haiwezekani unataka kuongeza mtaji wa biashara yako unapandisha kodi.Hii haiwezekani.Huu ni ulanguzi mbaya usiokubalika.
 
Inategemea mkataba unaoingia na mwenyenyumba biashara hii siku hizi imestaarabika!!
 
Wacha porojo wewe.

Muathirika atakuwa mwenye nyumba au mpangaji?

Nipo kijijini siku nyingi sana. Nnawashangaa wanaokimbilia mijini wakati maisha mazuri na yenye maana yapo vijijini.

Nimezaliwa jijini, nimekulia jijini, nimeishi majiji mbalimbali duniani lakini baada ya kuamua kurudi kijijini nikajuta kwanini nimechelewa.

Utarudije usikotoka?
 
Squatters everywhere wajipange kweli kweli kukusanya hiyo kodi ya nyumba
 
Katika uzi huu, inafaa kabla hujachangia unadeclare interest kwanza kama wewe ni mpangaji ama mwenye nyumba. Mleta uzi bila shaka ni mpangaji kwa kadri alivyoandika maana kwa malipo ya Ufipa mpaka ujenge nyumba itachukua miaka 50
We jamaa una akili za ki.she.nzi sana
 
Mtoa Uzi amekurupuka kuleta Uzi usiokamilika hebu fafanua kaka kodi gani hiyo n

Hoja sio ya mtoa uzi,mtoa kanukuu yaliyo andikwa na gazeti la mtanzania,kama unaitaji ufafanuzi nenda ofisi za gazeti hilo au nenda kahoji ufafanuz bungen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom