Kwa haya ya Mwanza, kuna bomu linatengenezwa

Mzee Wa Usafi wewe muongo leo jumamosi hao wamafuni Wa shule IPI muongo mkbwa we we hakuna alihongwa Magufuli haongi MTU wewe nyinyi mshazoea kwa fisadi wenu lowasa ndie mwenye tabia hiyo amekinunua mpka chama cha Chadema kakiweka mfukoni wacheni hizo
 
Mdogo wangu amekataa huo ujinga wao wamemtishia kumfukuza shule, sasa nasubiria aje na hiyo barua waone huo moto.
 
ukawa tupo tunduma
attachment.php
Hapo vipi kuna wasanii wa bure?
 
kwa Akili yako mtoa uzi hivi hawa wote wanao onekana star tv unaweza kuwalipa? muache ujinga bana hata kama ni ushabiki tuweke pembeni bana!!!!

Kwani elfu tano mara elfu tano inakuwa ngapi? kama wasanii wamenunuliwa kwa milioni mia nne au hata zaidi milioni 25 ni nini?
 
Hbari za leo Great Thinkers. Leo nimebahatika kuwa jijini Mwanza katika pilika zangu za kutafuta kamuhogo. Bahati nzuri leo pia mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Mh. John Pombe Magufuli yupo jijini kwa ajili ya kujinadi.

Wakati na ingia jijini Mwanza nikitokea Musoma , nilipofika Kisesa kuingia mjini nimekutana na makundi ya akina mama wamejikusanya kwenye vituo wakisubiri usafiri wa kuelekea kwenye Rally. Shamrashamra hizo zilikua zina zidi kila ninaposogelea mjini kati. Nilipofika mzunguko wa Nyerere niliamua kupitia barbara ya Pamba ili nishike barabara ya Kenyata...kwenye kituo cha Mafuta pale mkabala na stendi ya kwenda Igombe zilikuwepo bodaboda kama mia hivi zote zinapeperusha bendera za ccm kuulizia nikaambiwa kila bodaboda ilikuwa inawekewa mafuta lita 5, halafu unalamba elfu5 na kuwekewa bendera .

Pale Nyamagana daladala zilikuwa zinashusha watu halafu wanawezeshwa kwa Tshirts na buku tano kila mmoja.. Ilipofika saa nane wakatoka humo kwa maandamano, ukiziangalia hizo sura ambazo wengi ni wakina mama wengi unajuwa wamesombwa kutoka vijijini. Kuuulizia pale jamaa wakasema mbona shule zote za sekondari za serikali wameamuriwa na afisa elimu kupeleka watoto kwenye mkutano wa JPM wakiwa na nguo za kirai

Maswali
Kama ccm ni chama kikongwe kwanini kinanunua watu kwenda kwenye mkutano wao?
Kwanini iwalazimishe wanafunzi kwenda kwenye mkutano wao wa kampeni?
Pamoja na jopo la wasanii 60 kwanini hawajiamini?
Sio kwamba hapo wnataka kuwin psychology ya watu kuwa wao bado wako popular?

kampeni za gharama zote hizo ni kwa manufaa ya nani?

Hilo bomu liko wapi sasa; au hizo buku tano ndio bomu hebu funguka aisee
 
Hayo unaongea ni unayoyaamini niko mwanza na uache uongo na unafiki wewe inaonekana hata darasani ulikuwa kilaza
 
Hbari za leo Great Thinkers. Leo nimebahatika kuwa jijini Mwanza katika pilika zangu za kutafuta kamuhogo. Bahati nzuri leo pia mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Mh. John Pombe Magufuli yupo jijini kwa ajili ya kujinadi.

Wakati na ingia jijini Mwanza nikitokea Musoma , nilipofika Kisesa kuingia mjini nimekutana na makundi ya akina mama wamejikusanya kwenye vituo wakisubiri usafiri wa kuelekea kwenye Rally. Shamrashamra hizo zilikua zina zidi kila ninaposogelea mjini kati. Nilipofika mzunguko wa Nyerere niliamua kupitia barbara ya Pamba ili nishike barabara ya Kenyata...kwenye kituo cha Mafuta pale mkabala na stendi ya kwenda Igombe zilikuwepo bodaboda kama mia hivi zote zinapeperusha bendera za ccm kuulizia nikaambiwa kila bodaboda ilikuwa inawekewa mafuta lita 5, halafu unalamba elfu5 na kuwekewa bendera .

Pale Nyamagana daladala zilikuwa zinashusha watu halafu wanawezeshwa kwa Tshirts na buku tano kila mmoja.. Ilipofika saa nane wakatoka humo kwa maandamano, ukiziangalia hizo sura ambazo wengi ni wakina mama wengi unajuwa wamesombwa kutoka vijijini. Kuuulizia pale jamaa wakasema mbona shule zote za sekondari za serikali wameamuriwa na afisa elimu kupeleka watoto kwenye mkutano wa JPM wakiwa na nguo za kirai

Maswali
Kama ccm ni chama kikongwe kwanini kinanunua watu kwenda kwenye mkutano wao?
Kwanini iwalazimishe wanafunzi kwenda kwenye mkutano wao wa kampeni?
Pamoja na jopo la wasanii 60 kwanini hawajiamini?
Sio kwamba hapo wnataka kuwin psychology ya watu kuwa wao bado wako popular?

kampeni za gharama zote hizo ni kwa manufaa ya nani?
Hao watu walipelekwa kwa nguvu baada ya kupewa vyote hivyo au walikwenda kwa hiyari yao?Kama wangekuwa hawataki kwenda,wangechukuwa hivyo walivyopewa na wasingekwenda,lakini ikiwa wamekwenda,ujue hao ni wapenzi wa CCM.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Angalia kazi,CXM inapendwa Tanzania nzima
Kama hupendi kuambiwa ukweli usiingie kwenye thread hii.

Pamoja na Ukawa kuweka kambi Mwanza kwa wiki nzima ili kuzuia "hurricane" la TINGATINGA aka wa Home!

CCM Waitikisa Mwanza na kuitapishia ziwani...haijapata kutokea.

Hii ni ya wana mwanza watu wa #hapakazitu

SAA 1523

Magufuli anaingia uwanjani

SAA 1542

Utenzi maalumu kwa ajili ya Mgombea unaimbwa.

SAA 1553

Bulembo anatoa takwimu za mikutano rasmi ya kampeni zaidi ya 300,mikutano isiyo rasmi zaidi 1000,vijiji zaidi ya 12,000 na wapiga kura zaidi ya 24,000,000.

Kiufupi wameweza kuwafikia wananchi wengi kuliko chama chochote.
View attachment 299996
View attachment 299931
View attachment 299952
View attachment 299956View attachment 299957
View attachment 299998View attachment 299999
 
Hbari za leo Great Thinkers. Leo nimebahatika kuwa jijini Mwanza katika pilika zangu za kutafuta kamuhogo. Bahati nzuri leo pia mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Mh. John Pombe Magufuli yupo jijini kwa ajili ya kujinadi.

Wakati na ingia jijini Mwanza nikitokea Musoma , nilipofika Kisesa kuingia mjini nimekutana na makundi ya akina mama wamejikusanya kwenye vituo wakisubiri usafiri wa kuelekea kwenye Rally. Shamrashamra hizo zilikua zina zidi kila ninaposogelea mjini kati. Nilipofika mzunguko wa Nyerere niliamua kupitia barbara ya Pamba ili nishike barabara ya Kenyata...kwenye kituo cha Mafuta pale mkabala na stendi ya kwenda Igombe zilikuwepo bodaboda kama mia hivi zote zinapeperusha bendera za ccm kuulizia nikaambiwa kila bodaboda ilikuwa inawekewa mafuta lita 5, halafu unalamba elfu5 na kuwekewa bendera .

Pale Nyamagana daladala zilikuwa zinashusha watu halafu wanawezeshwa kwa Tshirts na buku tano kila mmoja.. Ilipofika saa nane wakatoka humo kwa maandamano, ukiziangalia hizo sura ambazo wengi ni wakina mama wengi unajuwa wamesombwa kutoka vijijini. Kuuulizia pale jamaa wakasema mbona shule zote za sekondari za serikali wameamuriwa na afisa elimu kupeleka watoto kwenye mkutano wa JPM wakiwa na nguo za kirai

Maswali
Kama ccm ni chama kikongwe kwanini kinanunua watu kwenda kwenye mkutano wao?
Kwanini iwalazimishe wanafunzi kwenda kwenye mkutano wao wa kampeni?
Pamoja na jopo la wasanii 60 kwanini hawajiamini?
Sio kwamba hapo wnataka kuwin psychology ya watu kuwa wao bado wako popular?

kampeni za gharama zote hizo ni kwa manufaa ya nani?

HAYA NDIO TULIYOYAONA JAMANI

wanafunzi wa shule gani jmosi?

Hom kuna watoto Wawili wa secondary wakawa wanataka kwenda kwenye mkutano wa magufur nikawauliza nani kawapa ruhusa ya kwenda huko...jibu sasa jana tuliambiwa na walimu tuende..nkapiga mkwala hakuna kwenda hakwenda mtu
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

Tuko ulimwengu wa digital Huwwzi kuja hapa kutudanganya kwa maneno thibitisha kwa japo vd ama picha!!!
 
Back
Top Bottom