Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

mi kura yangu ni kwa lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kura yangu na make wangu, na babu yangu na bibi yangu ni kwa Edward Ngoyai Lowassa

Edward Ngoyai Lowasa

Edward Ngoyai Lowassa na mke wangu na familia pamoja na marafiki zangu wote nliosoma nao Primary,Secondary,High level na vyou wote waNampa Lowassa

Lowasa bila Shaka
12112021_10203843449044939_3892930852088265146_n.jpg
 
Bado tu lowasa nampa hata ulete vijembe gani mmi lowasa tuuuuuu
 
Kama watu wengi wanaojitambua mimi nitampa kura yangu mh LOWASA.
 
Kura yangu,mkewa wangu,kaka zangu 3 na dada zangu 4,marafiki zangu 12,wafanyakazi wenzangu 30 zote n lowassa
 
Mi yangu Lowasa na marafiki zangu 18mke wangu wadogo zangu 6 wote vote to lawasa
 
Back
Top Bottom