Recent content by Maskini Mimi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Mbeya: RIP mzee Sombrero

    Poleni wafiwa. Mungunt akupeni subira. Sombrero was a real gentleman. i had an opportunity to meet him many a times when i used to go to Mbeya. RIP Mzee Sombrero
  2. M

    JamiiForums Tanzania Meneja atupwa jela miaka 250 - Mfano wa Kuigwa

    Hawa walaji wadogo ni MABANGUSILO, wakati walaji wenyewe wanaachiwa kupeta tu kama kawaida! Jee tutafika?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kwa ufahamu wangu sirikali ya Tanzania haina dini, kwa hivyo suala la kusaini MOU with any religion is incorrect. Kama ikiwezekana waweke kinaga ubaga kwamba dini zote zitapata misaada based on the MOU signed with Muslims or Chrisitians - this is my thought
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yemeni Plane Crashes Off Comoros

    I believe ni mazoezi ya kufa ambayo wote tutayafanya japo mara moja katika maisha yetu...... Please be prepared for it
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yemeni Plane Crashes Off Comoros

    A Yemeni airliner with 153 people on board has crashed in the Indian Ocean near the Comoros archipelago. Some bodies have been recovered, a Yemeni aviation official said, and wreckage of the plane located. It is not clear whether there were survivors. The Airbus 310 flight IY626, operated...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Effects of Imported Cement in Tanzania

    We need to have good Government employees (for whom we pay salaries out of our taxes) to at least think and feel for the country and fellow citizens. Inasikitisha sana kwamba hawa wenzetu wakipata wanajisahau kabisa kwamba kuna binadamu wenzao ambao wanaumia kutokana na decision zao za kishenzi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Scheduled system maintenance

    Thanks for the update,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kodi: Chanzo cha kumong'onyoa uzalendo wetu

    This will be the best thing if achieved, as it will be in line with Cannons of taxation 'fairness' - everyone should pay tax. Nchi za wenzetu hata marais wanatakiwa wafile tax returns and declare income and pay resultant tax na hapo tutpata kuwakamata viongozo amabo awana evade tax kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

    nakumbuka MV Victoria, as soon as BWM took over, he started with a bang!!!!!!!!!!!!!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

    Ahsante Mwanafalsafa, hivi ndivyo wabunge wanavyofanya kazi, inapokaribia wakati wa kula huwa wanaamka na siku zote hawasemi. What good Diallo has done to the nation while he was a minister!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mjamzito amtaja Paroko

    Hawa maporoko kwa nini wasiruhusiwe wawe na wake so as to avoid kutia mimba watoto wetu. Akamatwe halafu ajzwe chupa huyo ....... ndiyo atajua raha ya kuwaharibu watoto wetu!
  12. M

    JamiiForums Tanzania April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Mungu anusuru ndugu zetu, awaper subira wote walioathirika
  13. M

    JamiiForums Tanzania April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Jamani tunaomba updates, if any
  14. M

    JamiiForums Tanzania April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    jamani aliyekuwa na update atuhabarishe - Jee suala la ku evacuate maghorofani lipo au kwa sasa hivi hali imekuwa shwari!
  15. M

    JamiiForums Tanzania April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Tunawaombea Ndugu zetu waTz Mungu awajaalie wapate usalama, na waliofariki mungu awarehemu
Back
Top Bottom