Effects of Imported Cement in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Effects of Imported Cement in Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Jun 15, 2009.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Katika mizunguko yangu nimekutana na hii cement ya nje toka Pakistani iko bwelele sokonni i mean nyingi.

  Serikali walipojiwa jiwa juu na viwanda vya ndani ikasema inataka fair competition.

  Swali utacompete na mtu ambaye bei yako ya umeme iko juu kwa uwiano wa 1:2.5?
  .
  Mbaya zaidi viwanda vyetu sasa vingine vimesimamisha production for weeks now since stock iko nyingi.

  As a result TRA na TANESCO watakuwa seriuously impacted bse kuna viwanda vilikuwa vyalipa umeme mpka milioni 300.

  Twende kwenye ajira, hali ikiendelea kuna uwezekano hivi viwanda vikappunguza wafanyakazi ambao ndio wapiga kura ? Leave alone indirect employment!!!!
  Tanznia tunaenda wapi?Worse still in such a recession unajaribu kuinua uchumi wa Pakistani kwa kuudororesha wetu.
   
 2. M

  Maskini Mimi Member

  #2
  Jun 15, 2009
  Joined: Jun 25, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We need to have good Government employees (for whom we pay salaries out of our taxes) to at least think and feel for the country and fellow citizens. Inasikitisha sana kwamba hawa wenzetu wakipata wanajisahau kabisa kwamba kuna binadamu wenzao ambao wanaumia kutokana na decision zao za kishenzi (eti fair competition). Wenzetu hawana UZALENDO! hivi yale mazungumzo kuhusu wa asia na waswahili hayana maana, kwani wengi wa hao wanaofanya haya madudu serikalini 99% ni ndugu zetu kabisa na siyo wa asia - tubadilike jamani

  Njowepo, you have given a very simple ration for the Govt to understand costs that TZ companies have to face in comparison with Imported Goods.

  Kura ya mwananchi really matters, bado hatuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kukidhi matakwa ya wananchi so that we can give our kuras to them!

  Lakini tutafika
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jun 15, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,597
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Mkuu inaonekana umeona Cement tu! inaposemwa soko huria, globalization etc , ndiyo matokeo yake haya. Kosa lilishafanyika siku nyingi , kuzuia wafanyabiashara sasa ni kuwakosea.Kinachotakiwa ni kuwabana.

  Ukienda kwenye food malls ndio unaweza kulia mkuu, matunda ya aina yote yanatoka afrika kusini , huku yetu yanaoza Tanga.

  Hatukuwa tyari kwenye hii michuano

  Fundisho ni kuwa pamoja na vitu kuingia still serikali inaweza ikasaidia viwanda vya ndani, waongeze kodi hii cement ya pakistan.

  In other hand viwanda navyo viangalie bei ya cement haiendani kabisa na hali ya mwananchi wa kawaida.kumbuka pia sio vya wazawa ni hao hao 'wakuja' wanaitwa wawekezaji.

  Kuna viwanda 3,kingine kinaongezwa Mtwara vyote vina international credit (ISO-products).Sioni kwa nini washindwe kwa hawa wapakistan

  Kila kitu mzee kinaletwa, anza na sindano....
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Tatizo si kuruhusu importation, tatizo ni utawala wetu unao muongezea cost local producer, kama hilo suala la umeme, barabara mbofu mbofu, uzembe ambo unamuongezea mzalishaji gharama etc etc. Tatizo tulio wakabidhi nji wengi wap ni mafisadi
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mimi nilielezea ktk mada fulani last week kwamba mbona India wanawabana wafanya biashara na mambo yanakwenda? Issue hapa ni uongozi mbovu, ni hivi karibuni TZ ilikuwa na uhaba wa cement na bei ikawa juu. Kuingiza cement kutoka nje siyo vibaya ila kinacho takiwa ni kuweka kodi kubwa ili na hawa wa ndani waweze kuuza na kuzalisha!

  Ukiangalia India wanatengeneza magari yao na yanauzika kwa sababu kodi ya kuingiza gari kutoka japan na kwingineko ni kubwa sana kwa hiyo mfanya biashara anaona bora auze vigari hivyo hivyo vya kihindi japo siyo imara.

  Sijui kama mawaziri wetu wanatembelea JF mbona tunatoa ushauri kila mara wa kutoka kuendesa wizara lakini utashangaa mtu anarudia madudu yale yale ya miaka ya 80.

  Kwa aliye karibu na waziri Nagu ampigie simu amweleze awe anaomba ushauri hapa Jf!!
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Punguzeni bei ya umeme cement ya nchini iwe competitive.The tricky part is kupunguza bei ya umeme is not that easy partly kwa sababu ya mikataba ya kijinga walioingia walafi wachache, ingawa bei yetu ya umeme ilikuwa juu sana hata kabla ya mikataba hii.
   
 7. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwa nini cement ya nje ije all the way hapa na iuzwe kwa bei chini ya inayozalishwa hapa ndani? Kama ni product yenye ubora unaolingana na kodi zote zimelipiwa then wa ndani anatuibia somewhere, otherwise bei yake ingebidi iwe chini. Kama hawawezi ku compete wawe dealers wao! Mimi sioni kwa nini niuziwe cement kwa sh 17,000 eti kisa tu ni imetengenezwa ndani wakati ikitoka nje nainunua kwa nusu ya bei. Come on.
   
 8. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa. Serikali inataka wananchi wake wapate cement bora kabisa kwa bei nafuu kabisa kupitia soko huria.


  Hii iwe changamoto kwa serikali kupunguza gharama za uzalishaji nchini (nishati, usafiri, kodi, urasimu, rushwa, nk) ili wazalishaji wa ndani waweze kushindana na wa nje.

  Tulinganishe ajira zitakazo potea na faida watakayopata wanunuzi wa cement nchini kote kwa ujumla na jinsi hiyo faida/fedha walizo okoa kwa kununua cement ya bei nafuu zaidi watazitumia kwenye biashara/sekta nyingine na kuongeza ajira huko. Tanzania inaweza ikawavutia wapakistani kuja kununa bidhaa zetu kama madini, mazao na kuja kutalii.

  Nafasi tunazo nyingi sana. Tuamke na tuanze kuzitumia.
   
 9. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia India, asilimia 99.9 ya viwanda vinamilikiwa na wahindi wazawa proper. Hapa Tanzania asilimia 99.9 ya viwanda vinamilikiwa na wageni au raia wenye passport zaidi ya mbili. Kwa lugha nyepesi ni kwamba 'hatuna viwanda'. Tukiwabana wafanyabiashara waliopo ni sisi ndo tutakua losers. Sisi ndo tunategemea ajira zao. Tukiwawekea wauzaji wa nje kodi kubwa na sisi wakulima wetu watawekewa kodi kubwa hivyo nao watashindwa kuuza. Tatizo sio uongozi, ni sisi wenyewe.

  India wanafanya hivyo kwasababu angalau wanaviwanda vya magari vinavyomilikiwa na wazawa. Kodi kubwa iko kwenye magari yaliyokamilika (finished good) kutoka nje lakini India 'ina-import' technolojia ya magari kutoka Japan na Germany kwa kiasi kikubwa. India na Japan hawashindani kuuziana magari 'complete'. Soko kubwa la magari ya India ni la ndani na 3rd world kama sisi. Lakini mjapan na mjermani bado wanamuuzia mhindi 'technology' mfano Maruti (Suzuki), DCM (Toyota), Eicher (Mitsubishi) na Tata (Mercedes Benz). Mhindi bado hajawa na jeuri ya kuweka kodi kwenye teknolojia anayo-import sababu anaihitaji.

  Nadhani hili ni tatizo la 'uafrika'.

  Hii imetulia.
   
 10. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani kwenye hiyo cement hakuna mkono wa RA kweli ambaye anaweza kuingiza bidhaa zake bila TRA kumdai kodi hata senti tano? Maana ndo rais wa nchi ati hakuna wa kumgusa.
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  tunaweza kuilaumu sana serikali lakini, nao wafanyabiashara wa Tanzania uwezo wao wa kufanya biashara ni wa mashaka sana, miezi kadhaa iliyopita, ithink last yr, cement ilkuwa deal sana Tanzania ilkuwa haipatikani kabisa, sasa wenye viwanda walikuwa bize na soko la nje RSA, na walikuwa wakaidi sana kwa serikali ilipowaambia wasiuze cement nje, na hatimaye serikali ikatoa mwito kwa wafanya biashara wengine waagize cement kutoka nje, sasa soko la cement limekufa RSA ndio wanataka kuililia serikali, hawa wafanya biashara wanajiangalia wao tu bila kujali maslahi ya Taifa kwani by that time project nyingi za serikali zilisimama.
  angalia wafanyabiashara wa mafuta wanavyoisumbua serikali pamoja na Eura ni fujo za kijinga na kutofikiria vizuri kwa wafanyabiashara hawa wa Tanzania
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  One cannot seriously invoke the scourge of protectionism without seriously shooting oneself in the foot like Plaxico.It is inevitable that protectionism will breed more protectionism and clog the arteries of international trade, finally boggling commerce to a subsistence level.

  Generally speaking, developing economies, if industriously run, have more to lose from protectionism than to gain from it. Our challenge is not in whether to resort to protectionism or not - that is a "no brainer" against protectionism - but rather how to run our industries profitably in an environment of world class competition.

  I advocate more importation of relatively affordable cement from abroad to further construction projects in a more economic way.How can cement transported from Pakistan to Tanzania cost less than the locally produced lot beats me.This foreign cement -if lawfully imported- has the potential to be the salvation of the common man just as mitumba has been at the cost of the then ailing textile industry. Sheer Darwinian evolutionary economic forces cannot be stopped without causing further and expensive damage to economic and tangible utilitarianism.The petty concerns about employment and tax revenue will be more than compensanted for by the positives of a more affordable cement, provided the quality is not compromised, an issue so far not raised.

  Death by asphyxiation to all non-competitive industries. Even though it is considered pure hubris to cling to the now questionable Austrian School of Economics with it's overinsistent Misenian / Reaganomic renouncement of government interference (Reagan himself -of government is the problem, not solution fame - was embattled by Nyerere in the legendary 1981 Cancun Mexico meeting over unfair and anti-free trade US farmers subsidies...).

  National pride and patriotism must be confined to at the very least crude Smithsonian economic common sense.
   
  Last edited: Jun 15, 2009
 13. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45

  Kama Dr. Idrisa anaomba $120,000,000.00 for 100MW ambayo gharama yake halisi ni $50-60million, hapo unategemea nini!!.

  Richmond $172 million for leasing 100MW for 3 years, while the new unit was costing $40million that time., for $172 million the Government wangenunua 4 unit of 100mw each. total 400MW.

  Poor Leadership, Coruption, you name it.

  Pia haya makampuni yote ni ya nje hivyo wanataka super profit as much as they can, they don't care how poor you are.
   
Loading...