Recent content by Masihi.m

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji hii clip ya audio kama kuna mtu anayo anitumie

    Andika hivi youtube Love story by joemoe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Huo msikiti ulikuwa unajengwa eneo gani au college gani hapa UDOM maana mimi nipo UDOM na sijaona msikiti uliokuwa ukijengwa na ukabomolewa au ni stori ya kutunga ili kupata tension ya watu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Udom college of informatics na changamoto ya vyoo vichafu

    Kuchafua taasisi kwa uchafu wa wanafunzi wenyewe sio vizuri. Vile vile kila siku chuo kimeweka utaratibu wa wafanya usafi kusafisha kila asubuhi isipokuwa jumapili. Kwa kifupi wanafunzi ni wengi wao ni wachafu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Udom college of informatics na changamoto ya vyoo vichafu

    Sio kwamba vyoo always ni vichafu, wanafunzi ni wachafu hususani mwaka wa kwanza kwa sababu tangia wafike chuoni hawaiingi na maji na wala hawana ndoo za maji, vile vile wengi wao inawezekana wamezoea uchafu kwa sababu za mazingira wanayotokea. Mimi nipo hapa CIVE before first year hawajafungua...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Leo Messi, still without the medical all-clear, is part of a list of 22 players that also includes Chumi and Iñaki Peña from Barça B Leo Messi will travel to Milan with the rest of the first team squad. He will do so without the medical...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Real Madrid sacked a coach Real Madrid sack Lopetegui: El Clasico defeat the final straw as Antonio Conte waits to take over | Goal.com
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Asante kwa taarifa mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Bei ya kitunguu kwa eneo la mang'ora kwa gunia ni shilingi ngapi kwa muda huu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM fomu za kujiunga tunaanza kuchukua lini?

    Ukitaka kupata admission letter nenda kwenye link hii UDOM - ALIS Login
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Messi kachaguliwa kuwa captain wa Barca Four captains from La Masia | FC Barcelona
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nyumba ya jirani yetu imewaka moto leo,wamepigwa na leganes nyumbani bernabeu. In short wametolewa copa del rey
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Saa nne na dakika 45
  13. M

    JamiiForums Tanzania RICH DAD POOR DAD: Nimemaliza kusoma kitabu hiki, nisome kipi kingine?

    Kitabu kizuri kingine ni Think and grow rich kimeandikwa na Napoleon Hill ni kizuri kuliko hata rich dad poor dad
  14. M

    JamiiForums Tanzania First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    Ubarikiwe
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo auza tuzo yake ya Ballon d'Or

    Mbona messi anasaidia sana huko kwao argentina,ana hadi foundation inaitwa leo messi foundation kwa ajili ya kuwasaidia wenye kansa
Back
Top Bottom