umesoma vizuri sheria za chuo, any way sijui chenu sheria zake, ila naamain chuo kama saut, ukipost mambo ya taasis kwenye mitandao kwa kueleza negative side, kwa tafsiri yao kuwa unachafua image ya taasisi ya na mapadri hawawezi kukuvumilia, wanakufukuza, so kuwa makini sana kukimbilia kwenye mitandao kuweka mabaya ya taasisi wakati hukufuata ngazi kwa ngazi, wakukubana wanaweza kukufukuza chuo kweupee,....ni ushauri tu na haunagharama yoyote kumbuka ulikuja peke yako utaondoka peke yako, sina maana usilalalike au kudai haki, ila haki inautaratibu wake. wasalaaaam