Recent content by Masigo Jr

  1. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Bora tuachane, nasema sio ridhiki yangu

    Akitoka kwako mwambie aje kwangu...me nammudu..nimeku DM namba yangu mkuu.
  2. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Hatua nilizopitia mpaka kufika Ukraine, na bado niko njiani kwenda nchi ya ahadi Norway

    Wakati kuna wengine kazi kuangangalia series za kikorea tu...noma sana...[emoji23][emoji23]
  3. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    Wanaume mnaolia lia sana mnapenda KITONGA inaonekana.
  4. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari 40,000 wafungua kesi mahakamani kupinga uhalali wa Muungano

    Hawajielewi tu.
  5. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Leo nimeshuhudia pepo linamuingia mtu

    Umeanza vizuri...lkn umezingua badae...
  6. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu mwanamke, ushauri wenu ni muhimu

    sometime its better to give up..
  7. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu mwanamke, ushauri wenu ni muhimu

    word for the wise...
  8. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa mimba na mkojo

    Habari zenu wanajukwaa, Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza kuna uhusiano gani ulipo kati ya mkojo na ujauzito, kupima mkojo kwa wadada imekuwa njia mojawapo kubwa ya kujua kama mtu ni mjamzito au la, wajuzi mtuambie uhusiano uliopo.
  9. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la michango kuanzishwa shuleni kinyemela, wizara ya elimu ikubali kubeba lawama

    kiukweli Elimu bila malipo haiwezekani..ila serikali kichwa ngumu tu
  10. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA ikiamua kumfukuza Lowassa itabaki salama? Tujadili

    Kajifkuza mwenyew..
  11. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Geuza simu yako kuwa na muonekano wa computer

    kitambo sana aisee, pindi hicho haikuwepo hiyo louncher kwenye app store, HTC hero (2012)
  12. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usicheke, Ukicheka wewe ni mtu usiye na huruma KABISA

    We jamaa kiazi sanaa..duh..!!
  13. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mjini

    Hao hawana hata mwaka mjini hapa...
  14. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada shule zinazomilikiwa na jeshi tanzania

    Mabasi yanekwenda Ngerengere ambapo yanaingilia ubena mbele kidogo ya chalinze..unafika bila wasiwasi
  15. Masigo Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada shule zinazomilikiwa na jeshi tanzania

    hapana brother...kama ukitaka urahisi wa kwenda ukifika ubungo, kunamagari yanaitwa SALMIN, Ndio maarufu yanaenda ngerengere, ambapo ukimwambia konda akushushe kizuka ni pua na mdomo.
Back
Top Bottom