Bora tuachane, nasema sio ridhiki yangu

Bora tuachane, nasema sio ridhiki yangu

atafute mkali huku hana pesa, atampata vipi
Mkuu pesa ya Kula tu IPO SIO kwanmba fukara hivyo,, Ila huwezi kufuja Mali ungali kijana tunawekeza kwenye miradi ili one day tutoboe au SIO mkuu
 
-Kunikosea unikosee wewe...... Msamaha niombe mm
- kupiga simu Nipige mm muda kidogo unakata.
- kupewa unyumba unipangie wewe,,, nalala njaa Huku gunia za Mchele zimejaa mtaaani.
-Nisipo kutafuta hunitafuti, ukinitafuta unaomba hela tu.
- Mwanamke kiburi kimekujaa mpaka kwenye kucha.
-kila ukipata hela unawaza kununua nguo tu, umejaza ndani mabegi yanguo utadhani roboti za mitumba ya makoroboi....
Nasema BORA TUACHANE.........
Mimi nimekuelewa sana
 
Pata Like ya kweli, kisha tuendelee na maisha ya baadae.

Jenga maisha yako , usijenge penzi kwa lazima na gharama kubwa; litakusumbua.
 
Nimekusoma sanaaa kiongoz,,,,
JENGA MAISHA KWA GHARAMA, SIO MAPENZI .
 
-Kunikosea unikosee wewe...... Msamaha niombe mm
- kupiga simu Nipige mm muda kidogo unakata.
- kupewa unyumba unipangie wewe,,, nalala njaa Huku gunia za Mchele zimejaa mtaaani.
-Nisipo kutafuta hunitafuti, ukinitafuta unaomba hela tu.
- Mwanamke kiburi kimekujaa mpaka kwenye kucha.
-kila ukipata hela unawaza kununua nguo tu, umejaza ndani mabegi yanguo utadhani roboti za mitumba ya makoroboi....
Nasema BORA TUACHANE.........
Sometimes itabidi ukubali kuwa umekutana na mtu ambae si chaguo lako. Yes sio chaguo lako.

Mwanamke wa aina hiyo mara nyingi hana kazi.. hawanaga future.. wala hawahangaiki. Kutwa vigodoro,kutwa sherehe, kutwa harusi, kiguu na njia. Akipata hela anawaza nguo.. kila siku vibomu. Ukiwa huna hela ananuna, hana raha. Loh yanini kuangaika na mtu mzima mwenye akili za kitoto...

Akwende tu..
 
Akitoka kwako mwambie aje kwangu...me nammudu..nimeku DM namba yangu mkuu.
 
Aiseee hyo no 1,2

Nikifanyiwa hvo mara 2
Navunja relationship asubuh
Na mapema sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom