Recent content by Mashosho

  1. M

    Ikulu yakanusha Rais kusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba!

    ni Rais rahisi wa watu rahisi ndiyo maana hata mambo anayachukulia kirahisi na watu wanayakubakubali kirahisi tu.
  2. M

    Ni sahihi mkeo kufanya haya?

    hakuna lolote. Huyo mkeo huzima taa na shemejize mbona wasikae pamoja nawe kwenye mjadala? isijekuwa kaka unaitwa "ile ni meli tu naipakuwa du kina"
  3. M

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    achene kutuzingua nyie ni wezi hiyo miezi mnayopeana ni wizi mtupu! wadanganyeni mabwege sisi hatudanganyiki ng'o!
  4. M

    Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

    kupenda dezo kumekutia gerezani na hutotoka humo mpaka utakapolipa. ulifuata fedha zake ukasahau kuwa mpiga zumari shurti acheze wimbo ulochaguliwa na aliyelipa! Utajiju! itabidi usahau ya uchaga wake na ushamba mmalizane kwanza. Wachumi husema "nothing of value is free" kwanini we ulitaka fedha...
  5. M

    Msiwe waongo!

    baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa ilatunaona aibu kukubali kuwa tunahonga kwa vile tunajidanganya kuwa sifa ya mwanamume ampigishe mwanamama...
  6. M

    Waoaji hakuna siku hizi

    wadau leo nimepata jipya eti boy friend wa binti amedai hawezi kufunga ndoa kwasababu binti hana ndugu wenye uwezo wa kumfanyia send off. Hivi huyu mtu ni muoaji kweli? Mimi sidhani.
  7. M

    Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

    hawa ndio watawala wetu wameshasahau kuwa wao hawapaswi kupita pita vichochoroni. kama kupita pita ni fani yake kwa nini awe kiongozi?
  8. M

    Kikwete: Ziara ya kiserikali na kurudisha kadi wap na wapi?

    Naamini siku CCM ikiondoka madarakani itafilisika hapo hapo kwa vile karibu kila kitu wanachomiliki ni cha umma. Jengo la makao makuu mkoani Tanga lilipojengwa pamoja na uwanja wa mkwakwani niliuchangia 1975 nikiwa na miaka 10 kwa vile chochote tulichonunua mwaka ule mkoani Tanga kiliongezwa...
  9. M

    PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    tunashabikia aibu huku tukiilipia kwa jasho la damu!
  10. M

    Should abortion be legal or illegal in Tanzania?

    Why is abortion illegalized? If you support the current status have you ever asked yourself why? I think reasons to make abortion illegal are more religious than being guided by law. If one's conscience is not enough to control their choices why should the law interfere? Please let the law...
  11. M

    Big results ni kweli?

    Nasikia kwenye elimu kuna wimbo mpya umeanzishwa. Ajabu ya wimbo huu ni kuwa waimbao huimba maneno yao, wasikiao husikia ya kwao na wachezao hucheza mdundo wao. wanasiasa na watendaji serikalini wanaamini kuwa wameshafanya yatoshayo kubadili matokeo yale ya zero kuongoza na one kushika mkia...
  12. M

    Tusahau ya kampuni ya NICOL, hii ndio biashara itakayotutoa sisi watanzania

    kutumia ni muhimu kwa uchumi kukua. kuweka akiba kuna faida pale tu akiba hiyo inapowekezwa. Akiba kidogo zinapounganishwa huwa akiba kubwa ambayo huweza kuwekezwa katika mradi mkubwa wenye manufaa makubwa. Watanzania tuna matatizo matatu makubwa: kwanza hatujiamini, pili hatuaminiani na tatu ni...
  13. M

    Kudisco chuo na kupata usaili upya

    degree hata akitaka kumi anaweza kuchukua ni bidii yake kubukua tu, lakini suala la mkopo mimi sijui. Unachopaswa kujua ni kuwa chuo ulipodisko waweza pewa muda kidogo kujipanga kabla hujaanza upya. Kudisko ni kujikwaa tu si mwisho wa safari.
  14. M

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    kujiuzulu tu! unatufanya mazezeta sio? hakuna adhabu ya kumtosha afanyaye biashara hiyo. kifungo cha maisha pamoja na kufilisiwa mali zote awe amezichuma yeye, amezirithi au amepewa zawadi. Halafu haitakuwa mbaya hawa washenzi wauza unga wakatandikwa viboko 12 pale uwaja wa taifa kila siku ya...
  15. M

    Jogoo anapowika

    ati jogoo huwika kumwamsha mwandamu au kuku wenzake? Hili swali halihusu kuku ndege. Hivyo naomba jibu muafaka kwa hii lugha yetu mwanana.
Back
Top Bottom