Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Okay! kama siyo mnyakyusa ongera kwa kukifahamu kukizungumza kabila hilo. kuna siku nilishuhudia ukikiandika hapa Jf. Ukinipeda naamini utakuwa umepata quality ambayo bila shaka utafurahi. Nami nitakupenda kwa sababu neno strong unalotumia inaniakikishia kabisa lazima tutatoboa mbali sana. Upo jiji gani china?

Unataka kuja?????teh teh teh
 
mi nakuona km mtoto tu,kwani mawazo yako ndo yananipa picha ya kuwa ww ni mtoto..ila si kila kitu ufundishwe,mengine utayajua hadi yakutokee.....hizi theory unazozitafuta hapa hazina mshiko wal hazitakusaidia...cha kufanya subiri ukifikisha miaka 40 ndo utajua ulicho kifanya ni nini!!!!

Hata huyo mtoto mchanga akivalishwa nguo nzur utakuta anafurahi nakuanza kujinyoosha vizur.
 
hapana, mimi nina uenyeji kidogo katika jiji la Canton. Najamaa zangu majiji kadhaa that why nimeomba kufahamu. upo jiji gani?

Unataka kuniunganisha nao????......nipo jiji la Jhang mo Bujibuji unalifahamu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika Eli79 kama na vidumu kibao au unataka tufanye ligi????
miss strong, sorry bibie!
You and i ended our conversation yesterday. Nilikuwa najibu hoja tu na kufanya generalisation.. kuna bibie mmoja humu kasema usianzishe ligi wakati hata wachezaji huna... siwezi ligi mie!
 
Last edited by a moderator:
miss strong, sorry bibie!
You and i ended our conversation yesterday. Nilikuwa najibu hoja tu na kufanya generalisation.. kuna bibie mmoja humu kasema usianzishe ligi wakati hata wachezaji huna... siwezi ligi mie!

Angalia comments zako zote humu then utajua nini nachokimaanisha.....
Mchana mwema Eli79 ni hayo tu toka kwangu!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Angalia comments zako zote humu then utajua nini nachokimaanisha.....
Mchana mwema Eli79 ni hayo tu toka kwangu!!!!!!!!!

Sorry kama kwa comments zangu umekwazika mdogo wangu...
At the end of the day, no one is holly...so chill out girl!
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........
ungenitaja hapo juu ningechangia jambo umenisaau napita tu
 
Sorry kama kwa comments zangu umekwazika mdogo wangu...
At the end of the day, no one is holly...so chill out girl!

Ur ryt ma lovely bro Eli79.......hujanikwaza wala ila kuna kama comments mbili hivi hukunijibu mimi ila sikuzielewa mashiko yake haswa.
Lov u
 
Last edited by a moderator:
miss strong hawa Mzee Kaizer na kigoli DEMBA, siwaelewagi, sijui kama wanapendanaga au wanadanganyana. itabidi wafanye press conference

sie tunapendana kwa dhati sema wanok nok ndo wengi. kwani makoyo sikukualikaga katika sherehe ya kiapo chetu cha till death do as apart?
 
Last edited by a moderator:
kupenda dezo kumekutia gerezani na hutotoka humo mpaka utakapolipa. ulifuata fedha zake ukasahau kuwa mpiga zumari shurti acheze wimbo ulochaguliwa na aliyelipa! Utajiju! itabidi usahau ya uchaga wake na ushamba mmalizane kwanza. Wachumi husema "nothing of value is free" kwanini we ulitaka fedha za mchaga wa watu bure? Fanya umlipe na umwambie hisia zako vinginevyo naona kama kuna mtu anaelekea kaburi vile.........
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom

he he kweli money talks
 
Attachments

  • Money talks.jpg
    Money talks.jpg
    13.4 KB · Views: 46
haa haaa pacha mie naweza kukuachia mamilioni najua yatakuwa salama. lakini Kaizer najua utammiss use tu.

Yaani we niachie ili uthibitishe nnayosema!!!!atakuwa salama tu......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom