M Mashosho Member Jun 8, 2013 35 13 Jul 27, 2013 #1 ati jogoo huwika kumwamsha mwandamu au kuku wenzake? Hili swali halihusu kuku ndege. Hivyo naomba jibu muafaka kwa hii lugha yetu mwanana.
ati jogoo huwika kumwamsha mwandamu au kuku wenzake? Hili swali halihusu kuku ndege. Hivyo naomba jibu muafaka kwa hii lugha yetu mwanana.