Kudisco chuo na kupata usaili upya

shaw

Senior Member
Jan 22, 2012
143
70
Wakuu naombeni kufahamishwa kama mtu kadisco chuo anaweza kuaply TCU kuomba upya chuo. Ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tangia adisco!
 
NENDA UKASOME "PROSPECTUS" YA CHUO CHAKO!
bila hiyo ni sawa na mchungaji asiyejua Biblia!
na utakosa haki zako nyingi sana!
ushauri: kama umedisco bora utafute mtaji uanzishe kijiwe cha kung'arishia viatu!
 
Daaah..!! Inakuwaje mtu ana-disco? Alikuwa mgonjwa mgonjwa?
 
Pole sana bro, hakuna mtu anayependa kudisco hata kama ni mgojwa ila inatokea tu. Ushauri wa bure, elimu haina mwisho tafuta haki yako
 
Habari Zenu wakuu.. Hivi mtu aliye Disco anaweza kuchukua tena Degree kwa Mara nyingine? Je anaweza pata mkopo kutoka HESLB? Naomba mnijuze wakuu
 
Anaweza kuchuku sasa ivi elimu imekua poa tofauti na miaka ya nyuma,kuna jamaa yangu alidisco ud mwaka uliofata aka-apply tcu akapata muccobs na loan wakampa.
 
Habari Zenu wakuu.. Hivi mtu aliye Disco anaweza kuchukua tena Degree kwa Mara nyingine? Je anaweza pata mkopo kutoka HESLB? Naomba mnijuze wakuu

Unaweza kwenda institution nyingine ukachukue degree huko. Hilo linawezekana. Ila kuhusu kupewa tena mkopo no hiyo bodi ya mikopo kwa hili sina uhakika labda ucheki nao.

Jamaa yangu miaka ileee tulikuwa wote UDSM, yeye alikuwa FoE akichukua ME, akapigwa supu/kinywaji, ngoma ikadoda akalicheza disco. Then baada ya mwaka akarudi kuja kuchukua BSc-Physics na alimaliza poa tu.

Mwingine alidisco SUA na akaenda Muhimbili akamaliza na BSc-Pharm. Wengine walidisco UDSM wakaenda ughaiguni na wamemaliza poa tu.

Inawezekana usife moyo mkuu!
 
Anaweza kuchuku sasa ivi elimu imekua poa tofauti na miaka ya nyuma,kuna jamaa yangu alidisco ud mwaka uliofata aka-apply tcu akapata muccobs na loan wakampa.

Nashukuru mkuu kwa majibu yako yenye ushahid
 
degree hata akitaka kumi anaweza kuchukua ni bidii yake kubukua tu, lakini suala la mkopo mimi sijui. Unachopaswa kujua ni kuwa chuo ulipodisko waweza pewa muda kidogo kujipanga kabla hujaanza upya. Kudisko ni kujikwaa tu si mwisho wa safari.
 
Asante Mkuu kwa kunijuza
 
Unaweza kwenda institution nyingine ukachukue degree huko. Hilo linawezekana. Ila kuhusu kupewa tena mkopo no hiyo bodi ya mikopo kwa hili sina uhakika labda ucheki nao.
Jamaa yangu miaka ileee tulikuwa wote UDSM, yeye alikuwa FoE akichukua ME, akapigwa supu/kinywaji, ngoma ikadoda akalicheza disco. Then baada ya mwaka akarudi kuja kuchukua BSc-Physics na alimaliza poa tu.
Mwingine alidisco SUA na akaenda Muhimbili akamaliza na BSc-Pharm. Wengine walidisco UDSM wakaenda ughaiguni na wamemaliza poa tu
Inawezekana usife moyo mkuu

Nashukuru mkuu
 
unaweza soma ila n baada ya admission yako kua invallid xo na after 3 yrz na mkopo coz itaonekana uliishia njian itabd uurudishe wote ndo kwa mara moja ndo upewe mpya
 
Back
Top Bottom