Hata ikiwapigia simu kwa namba za huduma kwa wateja wanakuletea ngonjera ndefu iliyorekodiwa mpaka mwisho inakatika. Malipo ya miezi mitatu haina ratiba ya kueleweka.
Hili la kuwashwa na kutokewa na yaliyosemwa kwangu ni asilimia mia moja kwa mikono ila jicho la kushoto ndilo huashiria habari mbaya na kulia habari njema
Nashauri tuanzishe chama cha wastaafu ndicho kitakuwa chombo cha kutetea maslahi yetu na kishairi wasyaafu watatajiwa. Natamani tujiorodheshe humu na tuliwa idadi nzuri tupange tikutane tichague uongozi wa muda.
Ccm yenyewe imeshtuka na imeanza kujikomba kwa Lowassa. Tazama jinsi walivyohangaika kumtambilisha wakati wa kumuaga marehemu Eugen Mwaiposa. Kila aliyezungumza alimtaja wa kwanza kama waziri mkuu mstaafu na siyo waziri mkuu aliyejiuzulu. Aibu tupu!!!. Wanaanza kujisafisha.
Pinda alipoingia...
Wacha polisi wafanye kazi yao. Isijalishe ni Gwajima wala pengo. Uchunguzi haujali ni nani na hakuna kesi bila uchunguzi kupata ushahidi. Ukishajiingiza mikononi mwa polisi wana haki ya kukuchunguza
Wastaafu wengi wa mfuko hii wa pspf hatujalipwa kuanzia mwezi wa 12 na kama unabisha basi wewe siyo mstaafu. Nillitakiwa niwe nimelipwa miezi mitati kuishia february lakini sikulipwa nikiulizia naambiwa kuna technical problem. Tutakabiliana nao kwa maandamano mei mosi! Wastaafu tufike kwa wingi...
Kwani hayo majeshi ya kenya yanayofanya operesheni somalia askari wake ni wakristo? Kama wapo pia waislamu inakuwaje wabague kuia wakristo? Naamini waislamu ni katili na wenye wivu mkubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.