PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

LAPF ndo shirika la uhakika hilo PSPF ni u#$%"@@@@*%#

ahsante sana mkuu, nilijiunga lapf ila nkaja kukuta wafanyakaz wenzangu wengi wako pspf nkadhan labda ni kwema zaid kumbe uchaguzi wangu ni wa busara mpaka hapa
 
yani sahivi najutia sana ile tarehe 01.03 nlivojiunga na hili shirika ni ujinga ujinga na uongo uongo mwingi wanatangaza mafao ambayo hata hawana NAJUTA SANA KUJIUNGA PSPF

Pole mwe!kwa sisi tuliokuwa tunajua tangu awali tulisha chomoka zamani....huo mfuko ume lostishwa na serikali na unaidai serikali hela ndefu......na hakuna namna ya kulipa kwa sasa mpaka baada ya uchaguzi mkuu....
 
kuchomoka si haipo? au unatumia mbinu gani mwenzangu
 
Wastaafu wengi wa mfuko hii wa pspf hatujalipwa kuanzia mwezi wa 12 na kama unabisha basi wewe siyo mstaafu. Nillitakiwa niwe nimelipwa miezi mitati kuishia february lakini sikulipwa nikiulizia naambiwa kuna technical problem. Tutakabiliana nao kwa maandamano mei mosi! Wastaafu tufike kwa wingi kwenye mabanda yao ya mei mosi popote yalipo mpaka kielewele. Inauma wanavyotangaza mikopo na mafao lwenye vyombo vya habari bila kutulipa wastaafu
 
Fomula ya malipo ya PSPF ndio inayosifiwa kuwa bora kuliko zote, hata ukuchukua makundi ya wastaafu hakuna anayeusifia mfuko zaidi ya PSPF, tulishuhudia wahadhiri wa vyuo vikuu walipogoma kudai mafao yao yahamishiwe PSPF kutoka huko mnako kusifia ninyi(japo si wastaafu)

Matatizo yapo lakini jihadhari usitapeliwe na matangazo ya biashara. Nani mstaafu wa LAPF au NSSF anayeweza leo kuisifu hiyo mifuko. Laiti mngelijua.....
 
Kuna matatizo mengi kwenye mifuko ya jamii hapa nchini, ila PSPF walau wanajitahidi kutoa mafao makubwa ya kustaafu kuliko mifuko mingine hapa bongo
 
Fomula ya malipo ya PSPF ndio inayosifiwa kuwa bora kuliko zote, hata ukuchukua makundi ya wastaafu hakuna anayeusifia mfuko zaidi ya PSPF, tulishuhudia wahadhiri wa vyuo vikuu walipogoma kudai mafao yao yahamishiwe PSPF kutoka huko mnako kusifia ninyi(japo si wastaafu)

Matatizo yapo lakini jihadhari usitapeliwe na matangazo ya biashara. Nani mstaafu wa LAPF au NSSF anayeweza leo kuisifu hiyo mifuko. Laiti mngelijua.....
Lol

We unakomaa na formula wakati unaambiwa hawana hela, karibu mwez wa sita mzee wangu anastaafu LAPF tutakuwa na tafrija fupi mambo yake tayar barua sake zisharud anasubili kuon akaunti inajaa hapo juni

Dada ana miaka 2 kazin yuko LAPF saiv yuko martenity leave na laki nane zake mkonon.
 
usidhan nimekurupuka au naongea ili kuharibu biashara nnaongea nna uhakika 100%...mtu wangu wa karibu yupo LAPF alishafanya kazi sehemu tatu tofauti na kila akiquit anachukua contribution zake LAPF na last time mie mwnyw ndo nlimjazia fomu za kuomba hela zake nkapeleka j3 alhamisi hela ikaingia kwenye account!!!muda huo nlikua ma kijacho nikapewa fomu nijaze mafao ya uzazi roho iliniuma nkiwaza sipo LAPF nkatoka hapo na moto hadi PSPF kuuliza mafao ya uzazi wananijibu ujinga usioeleweka mara hawajaanzisha nyambafff wakat wanajinadi wana mafao ya uzazi...PSPF HAKUNA KITU

Mwambie huyo, sijui amekula maharage ya wapi huyoooooo analewawa huyooooo nk
 
Xmass mama alikuwa anaringa pensheni za Januari alilipwa Desemba 22 mie hata mshahara ilikuwa bado alinikopesha nauli ya kwenda home.Mie nachangia PPF ila PSPF nawatamani kinoma......

Kweli asiyejua maana.....
 
Huu uzi umekaa Ki-Promo Promo, watu wako kazini!
 
Wastaafu wengi wa mfuko hii wa pspf hatujalipwa kuanzia mwezi wa 12 na kama unabisha basi wewe siyo mstaafu. Nillitakiwa niwe nimelipwa miezi mitati kuishia february lakini sikulipwa nikiulizia naambiwa kuna technical problem. Tutakabiliana nao kwa maandamano mei mosi! Wastaafu tufike kwa wingi kwenye mabanda yao ya mei mosi popote yalipo mpaka kielewele. Inauma wanavyotangaza mikopo na mafao lwenye vyombo vya habari bila kutulipa wastaafu
Uzuri wa PSPF wkt wa kustaafu unalambs ela ya maana sio km hao Matapeli wengine wanakupa ela ndogo halafu kila mwaka wanataka wajue km umeshakufa au bado unaishi.
 
Fomula ya malipo ya PSPF ndio inayosifiwa kuwa bora kuliko zote, hata ukuchukua makundi ya wastaafu hakuna anayeusifia mfuko zaidi ya PSPF, tulishuhudia wahadhiri wa vyuo vikuu walipogoma kudai mafao yao yahamishiwe PSPF kutoka huko mnako kusifia ninyi(japo si wastaafu)

Matatizo yapo lakini jihadhari usitapeliwe na matangazo ya biashara. Nani mstaafu wa LAPF au NSSF anayeweza leo kuisifu hiyo mifuko. Laiti mngelijua.....

Katika mifuko ya hovyo kabisa ni PPF ukifuatiwa na NSSF siwashauri ambao bado hawajajiunga kujiunga Na Hawa Matapeli. SSRA na wenyewe wamejiunga na hao matapeli kwa kuwa huwezi kutunga kanuni mbovu kama hizo za kukataza watu kuhama mfuko. Kama nimegundua mfuko niliojiunga ni wa kitapeli Kwa nini unikataze kuhama, hiyo pesa ya kuchangia mnanipa nyie hadi mnibane? Mafao ya mifuko ni tofauti kabisa, ukiwa na mshahara wa 1.2M mafao ya mkupuo PSPF ni karibia Milioni 100, lakini mshahara huo huo PPF mafao ya mkupuo haifiki hata Milioni 25 halafu katika hali ya namna hiyo unakataza watu wasihame mfuko? Huo ni wizi wa mchana kweupe! Nawashauri wanaotaka kuhama wavute michango yao wafute uanachama Na baada ya muda wajiunge na mifuko yenye akili, mimi nimefanya hivyo na nimefanikiwa!
 
Ni kweli kuhusu uzuri wa formula ya tofauti za pensheni wanazotumia PSPF LAKINI formula hiyo hiyo ndiyo imeuchosha mfuko wa PSPF ndio maana sasa wanahaha kuwalipa wastaafu.....na kimahesabu(kwa uelewa wangu mdogo) walijipanga vizuri ila kuna factors mbalimbali hazikukaa sawa kama vile kukopwa na serikali fedha nyingi sana bila kulipwa nk (na siasa ndani yake)..hivyo ndio maana sasa wanayumba yumba sana!
 
Back
Top Bottom