PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

Jamani, kuna mstaafu hata mmoja wa LAPF ajitokeze hapa. Nijuavyo mimi hiyo LAPF haina hata umri wa miaka 15 hivyo bado haijaanza kulipa mafao ya wastaafu kwa wingi. Kwa sasa wana wanachama wengi ambao bado ni waajiriwa ndo maana wanalipa haya mafao madogo madogo kama ya uzazi kwa uharaka. Nijuavyo mimi hakuna mfuko wa hifadhi ya jamii ambao Serikali yetu haijatia mkono kukopa fedha japo viwango ni tofauti. Ni bora huyo PSPF tunajua analipaje sasa wastaafu kuliko hao ambao hawana uzoefu huo. Muda ukifika nao LAPF wakawa na wastaafu wengi ndio tutajua kama wako vizuri ama laa. Ni mawazo yangu tu.
 
Uwe unauliza kwanza basi, usikurupuke kusema eti LAPF hawana miaka 15 tangu kuwepo nakupa assignment tafuta kwanza walianza ln na jina lao lilikuwa n lip? Ndo urud hapa
 
Mashirika ya kijamii yamekuwa yakijitangaza kuwa yana huduma bora sana,mashirika haya ikiwa ni pamoja na PSPF.

Shirika hili lilikuwa linasifiwa kuliko mashirika yote ya huduma za kijamii.

Hata hivyo tumeona katika siku hizi za karibuni huduma za shirika hili zikidorora kwa kiwango kikubwa.

Kwa mfano wastahafu ambao walipaswa kulipa pension zao za kila mwezi angalau ilipofika tarehe moja ya mwezi wa nne mpaka leo hawajalipwa stahili yao.

Mashirika haya yakumbuke kwamba wastahafu hawa wanategemea pension hizi kwa kiwango kikubwa kama vile wafanyakazi wanavyotegemea mishahara yao. Na wakumbuke pia kwamba wastahafu hawa wameneemesha sana mashirika haya.

Ni swala la kiutu tu na uungwana kwamba inabidi watambue mchango wao na shirika hili liwe na mpango thabiti wa kuwalipa wazee hawa mapema. Ni watu waliolitumikia shirika hili kwa siku nyingi kwa hiyo ni vema wakaheshimiwa.

Tukiandika andika hivi mwishoni watapoteza wateja.

Wajirekebishe na watekeleze wajibu wao ipasavyo.

Hii inawezekana sababu pspf inapata wateja wengi sana Kwa pamoja,, sasa kuna uwezekano pia wateja wengi wakawa wanastaafu kwa pamoja, hapo ndo shida inapoanza
 
Pspf itujibu kulikoni?

Ni kweli kabisa mfuko wa PSPF una hali mbaya kifedha. Nimethibitisha hili hivi karibuni, baada ya kuwasiliana nao ili nijue kwanini wamekua wakimzungusha mzee wangu katika kupata mafao yake, baada ya kuwa amestaafu kwa muda mrefu sasa!

Bila kutafuna maneno, nilijibiwa kwamba fedha hakuna, wanasubiri hazina itakapopeleka makato ndipo waweze kulipa. Na kwamba haijulikani ni lini, ila niendelee tu kuwasiliana nao kila nitakapopata nafasi.

My take: Kwa kweli hali ni mbaya, Serikali inabidi ichukue hatua haraka iwezekanavyo, ili kunusuru wazee wetu hawa!
 
PSPF haiwezi kushindwa kulipa wastaafu acheni mambo ya siasa.
Utaratibu wa PSPF ni kwamba kila baada ya muda fulani mstaafu anapaswa kwenda kwenye matawi yao kujihakiki na kama mwaka umepita hujafanya hivyo wanasimamisha malipo kwa mstaafu huyo hadi atakapojihakiki[kuthibitisha kwamba bado yu hai] ikitokea mstaafu amefariki akaacha mjane basi through the process za mahakama na zikikamilika mjane huyo ataendelea kupata mafao hadi atakapoaga dunia.
 
Mkuu jaribu kuelewa tunachokilalamikia hapa, usilete ushabiki tu! Mimi binafsi nimepewa majibu hayo ya kusikitisha na hao PSPF. Kwanini nidanganye hapa?
 
Naomba unielewe, mimi si husiki kabisa na NSSF.Kwanza NSSF ndio wa hovyo kuliko wote.Ni ukweli kwamba wastahafu wa PSPF hawajalipwa pension zao kwa kipindi cha April,May na Juni kama ilivyo kawaida.Kama hii sio kweli ndio uongee,vinginevyo kaa kimya usidakie maneno usiyo yajua.

Hata statement inaonesha serkali (mwajiri) hajaingiza mchango wa mwajiri tangu mwezi wa 4
 
Jamani, kuna mstaafu hata mmoja wa LAPF ajitokeze hapa. Nijuavyo mimi hiyo LAPF haina hata umri wa miaka 15 hivyo bado haijaanza kulipa mafao ya wastaafu kwa wingi. Kwa sasa wana wanachama wengi ambao bado ni waajiriwa ndo maana wanalipa haya mafao madogo madogo kama ya uzazi kwa uharaka. Nijuavyo mimi hakuna mfuko wa hifadhi ya jamii ambao Serikali yetu haijatia mkono kukopa fedha japo viwango ni tofauti. Ni bora huyo PSPF tunajua analipaje sasa wastaafu kuliko hao ambao hawana uzoefu huo. Muda ukifika nao LAPF wakawa na wastaafu wengi ndio tutajua kama wako vizuri ama laa. Ni mawazo yangu tu.

Pspf ni mfuko mchanga kuliko Nssf na Ppf, lakini ilikuwa inatoa mafao makubwa zaidi kuliko Nssg ns Ppf! Hata sasa bado inatoa mafao makubwa zaidi kwa waajiriwa walioingia kazini kabla ya July 2014.
Huu ni ubinafsi wa serikali maana wao ndio mfuko wao wa waajiriwa wa serikali kuu!
Matokeo yake mzigo anabebeshwa mlipa kodi! Serikali inadaiwa na mfuko huu mabilioni mengi ajabu!
 
Mashirika ya kijamii yamekuwa yakijitangaza kuwa yana huduma bora sana,mashirika haya ikiwa ni pamoja na PSPF.

Shirika hili lilikuwa linasifiwa kuliko mashirika yote ya huduma za kijamii.

Hata hivyo tumeona katika siku hizi za karibuni huduma za shirika hili zikidorora kwa kiwango kikubwa.

Kwa mfano wastahafu ambao walipaswa kulipa pension zao za kila mwezi angalau ilipofika tarehe moja ya mwezi wa nne mpaka leo hawajalipwa stahili yao.

Mashirika haya yakumbuke kwamba wastahafu hawa wanategemea pension hizi kwa kiwango kikubwa kama vile wafanyakazi wanavyotegemea mishahara yao. Na wakumbuke pia kwamba wastahafu hawa wameneemesha sana mashirika haya.

Ni swala la kiutu tu na uungwana kwamba inabidi watambue mchango wao na shirika hili liwe na mpango thabiti wa kuwalipa wazee hawa mapema. Ni watu waliolitumikia shirika hili kwa siku nyingi kwa hiyo ni vema wakaheshimiwa.

Tukiandika andika hivi mwishoni watapoteza wateja.

Wajirekebishe na watekeleze wajibu wao ipasavyo.
Hawa jamaa kweli hovyo sana. Kuna watu wamestaafu tangu mwaka jana mpaka wa leo bado hawajalipwa mafao yao
 
Hili ndo shirika lililochoka hasa. Mm nasikitikia wazee bora mm nliyeenda kutaka mkopo wa masomo nkaambiwa riba ni 7. 5asilimia huko mza nikaenda msoma wakasema sio hiyo ni 14%kwa mwaka wakacalculate na makato nikalinganisha na crdb yenye 18% tofauti ni ndogo sana. PSPF hawana nia ya dhati kutusaidia Bali kutuibia funny enough wanakwambia benki ya posta ndo inakupa mkopo haijalishi makato yako yanatosha kukukopesha .kumbe PSPF ni bankrupt kwa mujibu wa report ya CAG nadhani hela zimebebwa na serikali kwenye uchaguzi jamani jamani.
 
Mkuu jaribu kuelewa tunachokilalamikia hapa, usilete ushabiki tu! Mimi binafsi nimepewa majibu hayo ya kusikitisha na hao PSPF. Kwanini nidanganye hapa?
mimi ni mstaaf na ninakuthbitishia kuwa kabla ya tarehe 4 ya kia mwezi pensheni yangu huingia kwenye ac yangu na huko nyuma pensheni yangu sijawahi kuikosa
 
Mkuu hapa hatuongelei pensheni ya kila mwezi, tunaongelea malipo baada ya kustaafu kazi (mafao), ambayo ndiyo yamekwama sasa. Mimi binafsi ni shuhuda wa hili, baada ya kuwasiliana na PSPF makao makuu!
 
Naomba unielewe, mimi si husiki kabisa na NSSF.Kwanza NSSF ndio wa hovyo kuliko wote.Ni ukweli kwamba wastahafu wa PSPF hawajalipwa pension zao kwa kipindi cha April,May na Juni kama ilivyo kawaida.Kama hii sio kweli ndio uongee,vinginevyo kaa kimya usidakie maneno usiyo yajua.

Umenena Mkuu, Mzee wangu kastaafu mwezi wa nne tar 18 mwaka huu, hadi leo hajapata pensioni yake PSPF, mimi mwenyewe niliacha kazi tangia januari nimefuatilia michango yangu nssf, hadi sasa sijapata! Yani haya mashirika ni hopeless kabisa!
 
Mashirika ya kijamii yamekuwa yakijitangaza kuwa yana huduma bora sana,mashirika haya ikiwa ni pamoja na PSPF.

Shirika hili lilikuwa linasifiwa kuliko mashirika yote ya huduma za kijamii.

Hata hivyo tumeona katika siku hizi za karibuni huduma za shirika hili zikidorora kwa kiwango kikubwa.

Kwa mfano wastahafu ambao walipaswa kulipa pension zao za kila mwezi angalau ilipofika tarehe moja ya mwezi wa nne mpaka leo hawajalipwa stahili yao.

Mashirika haya yakumbuke kwamba wastahafu hawa wanategemea pension hizi kwa kiwango kikubwa kama vile wafanyakazi wanavyotegemea mishahara yao. Na wakumbuke pia kwamba wastahafu hawa wameneemesha sana mashirika haya.

Ni swala la kiutu tu na uungwana kwamba inabidi watambue mchango wao na shirika hili liwe na mpango thabiti wa kuwalipa wazee hawa mapema. Ni watu waliolitumikia shirika hili kwa siku nyingi kwa hiyo ni vema wakaheshimiwa.

Tukiandika andika hivi mwishoni watapoteza wateja.

Wajirekebishe na watekeleze wajibu wao ipasavyo.

Kweli mfano hapa arusha huduma zao ni mbovu utafikiri ni wakala wa pspf kazi wanafanya kama hawataki vile mteja kwao ni msumbufu.
 
PSPF haiwezi kushindwa kulipa wastaafu acheni mambo ya siasa.
Utaratibu wa PSPF ni kwamba kila baada ya muda fulani mstaafu anapaswa kwenda kwenye matawi yao kujihakiki na kama mwaka umepita hujafanya hivyo wanasimamisha malipo kwa mstaafu huyo hadi atakapojihakiki[kuthibitisha kwamba bado yu hai] ikitokea mstaafu amefariki akaacha mjane basi through the process za mahakama na zikikamilika mjane huyo ataendelea kupata mafao hadi atakapoaga dunia.
Unajibu kama mfanyakazi wa pspf au?Hawa jamaa ni wasumbufu urasimu umezidi kazi wanafanya kwa mazoea hakuna ubora katika huduma zao ni kero kwa wazee wetu kweli utafikiri wanaenda kuomba msaada kumbe pensheni ni haki yao kisheria.
 
Ha ha ha Mama samia si ana matrillioni ya kugawa vijijini mwambieni awakopeshe PSPF
Sasa hizi ahadi zamagufuli anategemea kuzitimiza na nini ilihali JK ashakopa mpk mifuko ya ndani imeisha
 
Back
Top Bottom