Recent content by mashaka-jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Color=#FF0000MAMBO 0000mambo/color
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Mie napita tu !!!!!!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Nawe unashiriki mambo ya Sodoma na Gomora! !!!!!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Have you ever tasted it!!!!!!!!! Mie ni Mpita njia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kidogo niumbuke- Kazidondosha nikishuhudia!

    Biashara matangazo ndugu, huyo yupo kazini. Ina MAABARA hujamwelewa acha ushamba.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dada Poa Arusha Wanapatikana Kona Zipi

    Nisaidieni mwenzenu nawatafuta dada poa hapa Arusha nitawapata kona gani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania kupanda kwa daraja la kufaulu mtihani wa kidato cha nne.

    Napenda kukujulisha kuwa NECTA haijapandisha alama za ufaulu kwa O-level. Usidanganyike! Endapo kungekuwepo mabadiliko Baraza lingeujulisha umma wa Watanzania! NECTA hawafanyi kazi kwa kubahatisha.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Sista poa Moshi

    Hebu nielezeni mahali pa kuwapata sista poa maeneo ya Moshi town!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utumwa huu wa fikra utakoma lini!

    Ndio kwanza nimemaliza kusikiliza kipindi cha "THIS WEEK IN PERSPECTIVE " kinachorushwa na TBC1. Kipindi kimejadili mambo mengi mazuri, lakini la kusikitisha ni lugha iliyotumika ambayo ni Kiingereza, kisichofahamika kwa Watanzania walio wengi. Hivi kweli vyombo vyetu vya habari vinafanya kazi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

    Unanishangaza unaposema hali ni mbaya kwa kina dada. Je, hali ikoje kwa kina kaka? Kumbuka hawa kina dada ndio wanataka kujidhalilisha wao wenyewe, kwani chuoni wamekwenda kwa lengo la kusoma na sio kuuza miili yao. Wanaonadi miili yao, ndio hulka yao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba huu nao!

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde ccm!!!

    Wana-ccm napenda kuwajuza kuwa pamoja na mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofanywa na mhe. Jk, hakuna jipya tuwezalo kulitarajia kwani ufisadi bado ni sera ya ccm. Kwa kufuta azimio la arusha, ccm walihalalisha ufisadi. Kusema kweli ccm imetufikisha hapa tulipo. Tuna jamii yenye viongozi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Helo wana-forum!!

    Nawasalimu wote wenye mapenzi mema na maendeleo ya nchi hii. Nimekuja rasmi kwenye forum kutoa mchango wangu kwenye mada anuwai kwa lengo la kuelimishana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bravo CDM!!!

    Nimekuwa mwana ccm muda mrefu, ila kwa hakika hakuna jipya ambalo twaweza kulipata toka chama hiki kinachokumbatia ufisadi kama sera yao! Kwa wenye mapenzi mema na maendeleo ya nchi hii, jibu ni CDM!!
Back
Top Bottom