Kidogo niumbuke- Kazidondosha nikishuhudia!

Kidogo niumbuke- Kazidondosha nikishuhudia!

Raha ya Uswahilini kwetu bana, wa Osterbay, Mbezi Beach, Masaki hivi vitu hadimu kwao. Yawezekana mama mtu ashamwambia unamuona huyo kijana, hakikisha unamtia nyavuni. Kama umeajiriwa na una uhakika wa kupata menu na kubadilisha mboga utastukia Simba yuko ndani tena ukisahau kufunga mlango utamkuta chini ya uvungu mtupuuuuuuuu na ukitaka kupiga kelele wanapiga mayowe unataka kumbaka, usipokuwa makini Sheikh atakuwa mlangoni anakusubiri na vigelegele nje,,, mwanetu kaolewa kaolewaaaaaaaa, eeeeee kaolewa
 
sasa hata picha huoni? nenda kayachezee umshikishe adabu, hatarudia tena kuidondosha, siku nyingine ataivua mwenyewe.
 
Huyu dada sijamuelewa! Jana jioni alipita na kikanga kimoja na t-shirt nyeupe. Nilivyomkaribia kanga ikadondoka! Haaa, kumbe kavaa chupi tupu nyeupe?
Nilijikaza nikaondoka zangu. Leo tena asubuhi wakati nafata ka nusu lita ka maziwa, nimekutana nae anatokea kwao, alinipita kidogo huku akiyatikisa, mara kanga ikaanguka! Oooh, leo mbaya sana hajavaa kabisa kufuli. Mmmh, mbona suruali yangu ya kitambaa inaota mlima?

Haka katabia wadada na wamama imekuwa mazoea. Hampendi kuvaa kitu kwa ndani zaidi ya chupi au tight huku mmefunika kanga tu hata kama mna ka safari karefu. Hivi mna maana gani? Wengine hatutaki haya mavishawishi bana! Badilikeni...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Wow ! This small details makes life interesting ! I love living.
 
Back
Top Bottom