Recent content by MashaJF

  1. MashaJF

    Matokeo ya Kidato cha Sita 2017 Kupitia TAMISEMI

    Kutokana na website ya NECTA kuelemewa pata matokeo ya kidato cha sita na ualimu kupitia tovuti ya TAMISEMI Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017 | PORALG - Tanzania
  2. MashaJF

    Naomba msaada wa kujiunga na GPSA

    Government Procurement Services Agency
  3. MashaJF

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Matokeo kidato cha Nne 2015 - Link ya Uhakika Tovuti Kuu ya Serikali: HABARI MPYA
  4. MashaJF

    Operesheni Zinduka 4 - Unajua ni kwanini hasa Dr. Slaa "alimleta" Lowassa CHADEMA? Jibu litakuudhi

    Nakuheshimu MMM na naamini haya ni mawazo yako lakini mbona unaonekana uko biased kabisa? Analysis yako inaonekana ina lengo la kumtetea Dr. Slaa na kumdidimiza Mbowe. Kuna watu wengi walikuwa wanakuangalia kama "role model" katika kuchanganua mambo lakini namna hii inaonekana kama uhuru wako wa...
  5. MashaJF

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    hii habari mbona ni ya jana usiku hapa JF https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/930604-tanzia-mwanachama-wa-jamiiforums-na-mgombea-ubunge-lushoto-chadema-mohamed-mtoi-afariki-ktk-ajali.html
  6. MashaJF

    NECTA examiners report by subjects

    http://41.188.153.12:8080/BRN/CSEE_2012_QPC/012_HISTORY_CSEE_2012.PDF Zinapatikana hapa NECTA | Big Results Now Zipo za 2012 na 2013 tuu maybe ndio utaratibu wa softcopy ulivyo anza otherwise andika email kwa katibu mtendaji baraza la mitihani (esnecta at necta dot go dot tz) unaweza kusaidiwa...
  7. MashaJF

    Lowassa vita ni vita mura jipange

    Hii ripoti badala ya kuanika matatizo ya ufisadi wa Lowasa inaanika udhaifu mkubwa wa mfumo wetu wa uongozi kama nchi. Inaonesha kwamba ukiwa kiongozi wa nchi hii hata ufanye dhambi kubwa kiasi gani huwezi kuchukuliwa hatua. Kama kweli alifanya yote hayo miaka yote hiyo kwenye awamu zote za...
  8. MashaJF

    Kwanini baadhi ya muvi na filamu za Kitanzania hazina ubora wa kukidhi viwango vya kimataifa?

    Kazia ujumbe wako kwa kutoa mfano wa kitu gani chetu (Tanzania) kiko serious!!!! Mimi naamini hatujawa serious kwenye issues karibu zote sio Bongo movies peke yake. Kama hatutaki kukubali hili basi bado tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo. Kwani hatua ya kwanza ya kusolve tatizo ni...
  9. MashaJF

    Usiyoyajua kuhusu Mkurugenzi mpya wa (TCRA) Dk. Ally Simba

    Nimeisoma na ndio maana nimeandika hivyo....kwa sababu nilitegemea kwenye CV yake nione hizo keywords na sikuziona!!!!!!! Accomplishment yake ni machapisho ya tafiti, hivyo huyu ni mtafiti na cv yake ndio inavyoonyesha. Labda utuwekee accomplishments zake zingine ku-justify hiyo position.
  10. MashaJF

    Usiyoyajua kuhusu Mkurugenzi mpya wa (TCRA) Dk. Ally Simba

    Hii CV sidhani kama inatosha kumfanya awe mkurugenzi mkuu.....mkurugenzi mkuu anatakiwa awe na knowledge pana na sio nyembamba kwenye area flani, kama ni nyembamba(specialization) basi ingekuwa ya management kwenye masuala ya mawasiliano. Watanzania tumelogwa na PHD na Uprofesa. CV ya mkurugenzi...
  11. MashaJF

    Stay away from Nigerian men, there is a lesson to learn

    Kwa madada zangu, forget about the heading singling Nigerian Men, I think there is a lesson to learn from this article!!! "Stay Away From Nigerian Men......"
  12. MashaJF

    Siasa za siasa: Kafulila ni kichwa jamani

    Miaka 11 iliyopita!!!!!!!! Miaka miwili inaweza kumbadilisha mtu akawa tofauti kabisa. Jenga hoja kutokana na wakati.
  13. MashaJF

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Nafikiri tukiwalaumu polisi tunakosea ni mfumo wa nchi yetu kwamba siasa iko juu ya kila kitu, ni wapi ambako siasa hazijaingia nchini mwetu? Na tatizo kubwa ni kwamba kwenye siasa hata mambumbu wanapanda ngazi mpaka juu, sasa siasa inapokuwa juu ya kila kitu manake uwezekano mkubwa ni wajinga...
  14. MashaJF

    Wapi nitapata kusoma certificate ya pharmacy

    Kilimanjaro School of Pharmacy Kilimanjaro School of Pharmacy - Saint Luke Foundation St. Peter's College of Health Sciences http://www.stpeterscollege.ac.tz/index.php/accademic/certificates
  15. MashaJF

    CCM Wapiga Mkwara Television Kuruka Live

    Chama Cha Mapinduzi ‏@ccm_tanzania 1h1 hour agoView translation Kikao cha Halmashauri Kuu bado kinaendelea. Mkutano mkuu utafanyika baadae mchana wa leo.#KaribuDodoma UMOJA NI USHINDI. 41 retweets43 favoritesReply Retweet41 Favorite43 Follow More
Back
Top Bottom