Hii sio bosheni Mkutano Mkuu CCM 2015 on Livestream
mliopo online na mnaocheki tv tujuzen nn kinaendelea??
Ni kweli, mabaya hayawezi kutendeka mwangani ila kwenye giza. Pengine ukumbi umegeuka ulingo wa ngumi na mipasho kama kawaida yao.Hakuna mtenda maovu anayetaka, matendo yake maovu yaende hewani LIVE! Kwani nia yake hapo baadaye nikusema, YEYE hakuhusika na huo ubaya.....!
mliopo online na mnaocheki tv tujuzen nn kinaendelea??
anataka iuufanya urais kama ishu ya kindugu,hata asha rose na amina wana mahusiano ya karibu na jkharakati za Jk kumrisisha binamu urais imetibua kila kitu.
Namshukuru Mungu jinsi njia zake kutaka shauri zisivyo kama tufikirivyo sisi binadamu.
yetu yatapanguka ya Mungu yatasimama.
ccm bye bye!
mliopo online na mnaocheki tv tujuzen nn kinaendelea??
Policcm wanawadunda ccm raia au😕😕maajabu
mliopo online na mnaocheki tv tujuzen nn kinaendelea??
ch 10 na azam two