Siasa za siasa: Kafulila ni kichwa jamani

Siasa za siasa: Kafulila ni kichwa jamani

kafulila ni kichwa maji yule hana lolote,kazi yake kupayuka tu! nimesoma naye shybush na tumemaliza naye f6 2004,ni kilaza mkubwa na ni mtu wa kukurupuka,anataka kuhamia act eti...!

Zinalevya lakini hizo dawa...!
 
Mawazo ya shule haya, in the real word kampuni katika soko la hisa upangi wewe wala Kafulila na interest za mabepari sio hizi unazosema wewe wakienda huko wanakwenda kuongeza mitaji. Utafutaji wa faida na dividend ni sanaa nyingine hiyo na masoko haya mbele huko kwenye free market ndio yanakuwa efficient huku kwetu ni theory tu. Watu wanakuja na Mitaji yao wakiwa determine, makosa ya TRA na TCRA kama hamjawekeza kwenye kampuni hizo hamuwezi kuwa na maamuzi zaidi ya kufurahisha genge.

Kwa taarifa yako hayo makampuni mengi yako listed huko yanakotoka, kama Voda na Airtel, Mittal huku kafuata profit na kujenga jina, Dangote yuko busy anajenga plant Mtwara baadae mumwambie andikishe kampuni DSE ili muone faida inapatikanaje sababu TRA hawajui anzalishaje?

We punguani sä Nyingine kunyamaza ni bora kuliko kuchangia kila kitu usichokijua,hujui Afu unajifanya unajua, Ngoja nikujulishe kidogo, makampuni ya simu yaliwekwa katika soko la hisa itasabisha kampuni hizi kutoa taarifa sahihi kuhusu kama mitaji yao halisi nä faida halisi watayopåta, hii itasaidia Serikali kukusanya kodi sahihi kwenye kampuni hizi, mpåka Leo tra a tcra wameshindwa kubuni mfumo imara wa kieletroniki ambao utaleta transparency katika ukusanyaji kodi kwenye haya makampuni ya simu, hivyo basi kuyaweka kwenye soko la hisa kutatua changamoto hizi, Kumbuka kwamba kampuni iliyosajiliwa kwenye soko la hisa lengov kubwa ni watu wanunue hisa za kampuni hizo(wanapata faida wanapouza share@ Premium,Pamoja nä kuongeza mtaji wake) Pamoja nä mambo mengine watu huvutiwa nä kampuni zilizoripoti faida kubwa kwenye mwaka wa fedha uliopita wakiwa nä expectations kwamba mwaka huu wa fedha faida itakua kubwa maradufu na kupata gawio kubwa (dividend), sasa basi tukieka makampuni haya kwenye soko la hisa watatoa data za Ukweli ili kuvutia wanunuaji na ukwepaji wa kodi kwa kuripoti faida ndogo hautakuwepo, ikumbukwe ukwepaji wa kodi unaiingizia Serikali hasara kubwa sana... Kenge Wewe
 
Kuna wakati utanielewa tu, hizi ndio sanaa sizikubali kabisa kampuni ina worth milion dollars mmatumbi ananunua hisa za laki anafurahishwa kuambiwa anamiliki wakati anakosa uwezo wa kuamua hata hatma ya hisa zake zaidi ya kualikwa katika mkutano mkuu na kugonga soda? Fikiri nje ya Box, uwezi kufanya maamuzi ya kuwaelekeza owners. Kanuni ya fedha ni mwenye fedha nyingi ndio mwenye sauti msiwape watu matumaini yasiyo wezekana kujifurahisha, dawa chungu mwambie mgonjwa dawa chungu ameze ili apone.

Mie naipenda JF sababu we dare to talk openly, TRA na TCRA wawe na mifumo yao ya kutrack revenue kwa taarifa yako pia TCRA wako vizuri. Hapo juu kuna mwenzio nimempa jibu utasoma pia.

Nyie tatizo uwezo wa kufikiri zaidi ya watu wenu hamna. Songambele yuko huru na anapigania mawazo huru sio tu humu JF,
Huyu bwana songambele naona yuko tofauti sana na jina lake analojipambanua nalo
Nadhani nitakuwa sijamkosea nikimwita Songanyuma,
Kwanza kabisa hajui chochote kuhusu soko la hisa ndiyo maana anasema siyo sawa na mahakama ya ndizi.
Cha kujiuliza hisa ni nini?
Hisa ni uhalali wa kumiliki sehemu ya kampuni kutegemea na uwezo wako wewe, unaweza kuwa na hisa za shilingi elufu Tano tu za CRDB BANK, nawe utakuwa ni sehemu ya wamiliki wa CRDB BANK
Kwa hiyo Elimu inahitajika kwa watu kama huyu nakutakia tafakuri njema ila nitoe angalizo kabla ya kuchangia tafakari kama una uwezo nalo.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu. Yeye ni kuchwa wkt wengine miguu
 
kafulila ni kichwa maji yule hana lolote,kazi yake kupayuka tu! nimesoma naye shybush na tumemaliza naye f6 2004,ni kilaza mkubwa na ni mtu wa kukurupuka,anataka kuhamia act eti...!

Miaka 11 iliyopita!!!!!!!! Miaka miwili inaweza kumbadilisha mtu akawa tofauti kabisa. Jenga hoja kutokana na wakati.
 
Jimboni mwake mwaka huu kazi dr. Ali kalufya ana nyemelea
 
Mitaji yao ikijulikana yeye anapata nini? Bora angewaomba nyie pia mnunue hisa, kama anataka kujua mitaji si awaulize wenye kampuni kuliko kuzunguka
Kama yeye kichwa basi we na bosi wako mtakuwa sijui sehemu gani ya mwili, , Soko la Hisa sio sawa na mahakama ya ndizi kila mtu anaenda.

Bro ww kuwa mpole jifanye kama huoni wtz wengi ni wavivu kujisomea kufanya research ya vitu mbali mbali infact hawajui mambo mengi hasa yaliyoandikwa ndani ya vitabu kwa hiyo rula waliyoitumia kupima kiwango cha akili cha mtu wao inawatosha waache hivyo hivyo (when ignorant is bliss to be wise is fulish)
 
hakuna asiejua kafulila ni jembe wachumia tumbo wa ccm wanamponda
 
Kafulila amebadilka sana au amekuwa alikuwa na kiburi sana cha kujiona kila kitu anajua aliongozwa vibaya na zito akatimuliwa chadema alipoenda nccr akataka kumpindua mbatia kidogo afukuzwe chamani akaomba msamaa naona tokea hapo amekuwa tofauti sana.
 
kafulila ni nyota ya asubuhi.Ukawa pangeni vzr tuwape nchi
 
Laiti Serikali inge utilise watu kama hawa hakika tungekua mbali sana kama taifa.
 
Kafulila ni kijana mwenye maono mazuri lakini chondechonde ndugu zangu,huyu bwana akihamia ACT tuendelee kumsifia hivi hivi kama kweli sisi ni wazalendo mana hamchelewi nyinyi kumuita msaliti.
 
Yeye yuko Bungeni wewe uko wapi? Acheni tabia za kubeza watu bila sababu. Tujenge utamaduni wa kukubaliana na wanaotuzidi maana wakati mwingine utajifanya kushindana na mtu mwenye kipaji utaumia wewe tu.

Nikiachana na wewe.....Mimi kafulila namwona kama mtu anayesukumwa na uzalendo. Hizi ni tabia za watu wazelendo yaani kuipenda nchi yako. Ningetamani sana uwepo mdahalo kati ya Kafulila na Nape, hata wakipewa mada inayohusu taifa stars itatosha watu tuburudike.

kama mtu huelewi mambo bora kukaa kimya
 
Wakulima Tanzania ni 70%, hivyo basi kikwete anaposema hakufanikiwa kwenye idara hii ya watanzania walio wengi ni sawa na kusema hajatatua tatizo la Umasikini ndani ya watanzania.
Ikumbukwe hata Mkapa alishindwa kuendeleza idara hii ipasavyo.

Hongera sana mh. D. KAFULILA[/QUOTE
Nyerere tu ndo alikuwa na utashi na wakulima.hawa wengine ni mbwembwe tu . Enzi zake mafisa kilimo ndo walikuwa wako vizuri leo wapiga domo aka siasa ndo wanajioendekea kwani kila pesa wanajilrngrshea wao
 
Back
Top Bottom