Recent content by Masese Stevens

  1. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania CCM Inastahili Kubeba Lawama ya Mengi; Lakini Hili ni Kubwa Zaidi!

    Mwanakijiji be precise kwenye hoja yako. huu uteja unaouzungumzia ni upi? kukopa fedha kwa ajiri ya kutekeleza bajeti husika au kuomba fedha ili kupanga bajeti
  2. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Waziri Kangi Lugola: Nikifa nizikwe na ilani ya CCM

    chupa inapoza hii.
  3. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli ataka Lugumi achukuliwe hatua. Kuna hela zimechezewa NIDA, achoka kutoa rambirambi

    Hivi hili bunge la mh Dungai liko huru kwa maneno haya ya huyu mzee
  4. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums member's party

    Wazo zuri ila hofu ipo pale!! Baada ya tukio.
  5. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Watumishi kadhaa wa Halmashauri Mafia waitwa kuhojiwa na TAKUKURU kisa ubadhirifu wa DED

    Tunza huo ushahidi maana hawakawii kuja kukagua nyumban kwako!!!!
  6. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Happy Sabath JF

    Nakwako pia Mtoa post.
  7. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Happy Sabath JF

    Nakwako pia Mtoa post.
  8. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa

    Heading na content kama vimepishana sijui ulikosea kuandika au ndicho ulicho zamilia kukiandika by the way its the battle between smart phone v/s stupid boy.
  9. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa, CCM na Serikali hili liko wazi

    Ok!! wewe shangilia hili la Lisu but siku ikitokea upande wenu msije piga kelele Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania BUNGENI, DODOMA: Wabunge 7 wa CUF waapishwa, UKAWA wasusa na kutoingia bungeni wakati wa kuapishwa

    Pendekeza mzazi mbinu mbadala!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    Tangulia mzazi!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MwanaJamiiForums mwenzetu amefiwa na mzazi wake

    Mungu amtie nguvu mwanajukwaa mwenzetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

    Pia asisitize masrahi ya nchi kwanza chama badae ndani ya Bunge letu. Ili wabunge waisimamie serikari kikamirifu!
  14. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Makamu wa Rais Ifutwe

    Hapa ndipo tumefikia hatuna budi kudai katiba itakayo endana na wakati tulionao. Honestly cheo cha VP kwa katiba hii less functioning. Kwa Sababu katika presidential government na non-presidential government hii aina ya serekari yetu haipo upande wowote.
  15. Masese Stevens

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

    Points za msingi sana hizo. Text derives to katibu Mkuu Mashinji.
Back
Top Bottom