Masese Stevens
Member
- Dec 22, 2016
- 23
- 17
Nakwako pia Mtoa post.
Sabato ni siku ya saba katika juma ambapo Mungu alikua ameshamaliza kazi yake yoote ya uumbaji siku sita.Nini maana ya Sabato??
Naomba mnijulishe tafadhali
Hahahah! Umekumbusha dadangu ameolewa upande mwngne uwa akienda kanisan anacheka tu! Ukipata mtu wa imani yako ni vyema saana ila maisha mkuu!
Jamani! Ni hatar kwa sisi ambao tuna malengo ya kuolewa afu mchumba unapata wa iman nyngne ni hatar mamymie kwanza nimestop nilisahau kuchovya maji ya pale mlangon mzee mmoja akaja akaninanga hatAri!since then siend!nasali tu jumuiya maana ile ni must
Jamani! Ni hatar kwa sisi ambao tuna malengo ya kuolewa afu mchumba unapata wa iman nyngne ni hatar mamy
Nikipata wa hvyo i will be glad kabsa maana mh!mrad upendo haya mengine yanakuja automatic !km mie nafurah hakatai nikasali sabato kbs ila sio yy kwenda sabato
AmenNakwako pia Mtoa post.
Nikipata wa hvyo i will be glad kabsa maana mh!
Do you know the difference of those two words?I'm not a sabbatarian BUT a Christian!
The spiritual rest, which God particularly intends in this Commandment, is this:
That we not only cease from our labor and trade, but much more, that we let God alone work in us and that we do nothing of our own with all our powers.
Happy sabath every one,
_______________________________________
Pumziko la kiroho, ambalo Mungu amekusudia hasa katika Amri hii ni hili:
Si tu kujitenga na kazi zetu ama biashara, lakini zaidi ni kujisalimisha kwa Mungu pekee afanye kazi ndani yetu, maana hatutendi kwa nguvu zetu wenyewe.
Nawatakia Sabato njema.
Nashkuru Mkuu kwa kunifahamisha kwa maana Ya SABATO..KUA NI PUMZIKOMaana ya neno sabato ni PUMZIKO
Amina aminaa
Its okay bro,Nashkuru Mkuu kwa kunifahamisha kwa maana Ya SABATO..KUA NI PUMZIKO
swali lingine
PUMZIKO LINAKUJA VIPI
YAANI LINAINGILIANA VIPI?KWA SABABU WATU WANAENDA KANISANI WENGINE WAKIKESHA KWA NYIMBO ZA KIDINI..
SASA HAPO PUMZIKO LINAKUJAJE HALIYAKUA WATU WANAKESHA WAKIOMBA
Samahani Mkuu nauliza kwa nia nzuri tu.ili nipate kufahamu