Mimi sio muhasibu na hivyo nitauliza maswali kadhaa tupate ufafanuzi wa kihasibu.waasibu mliomo humu mtusaidie.
Je, ni sahii kwa fedha yoyote ya umma au iliyopitishwa kwenye mfumo wa umma au ukipenda dola kuwekwa kwenye accaunt yoyote isiyoeleweka kwa umma mfano account ya M4C?
Je, utaratibu wa malipo katika taasisi za umma ukoje?
Je, utaratibu wa michango kwenda na kutoka kwenye taasisi za umma ukoje?
Je, sheria za kuhamisha fedha kimataifa zikoje?
Je, kama kuna taratibu za kuhandle fedha za umma na ziko na ukiritimba tufanyeje?
Kuna utaratibu wowote au sheria yoyote inayosimamia uchangiaji wa fedha nyingi au kidogo kwa maslahi ya umma?
Je, Chadema kupitia muhasibu wa chama anahusika vipi kuhandle michango kwa chama au mwanachama?
Je, Muhasibu ana role gani katika kumshauri mwenyekiti wake juu ya kuhandle fedha na michango ya chama au mwanachama?
Maswali mengine yatafuata