Nafasi ya Makamu wa Rais Ifutwe

Nafasi ya Makamu wa Rais Ifutwe

awamu hii tusingekuwa na waziri mkuu na huyu mama tanzania ingepotea kwenye ramani ya dunia ,,,,,,,,,,,,,,
huyu jamaa anaweza kutuchamba tu kuna mto ngono sijui blablabla unadhani anaweza kuongea nini international?
Kuna kiongozi wa ccm aliwahi kunidokeza jambo hilo , hivi ni kweli eeeee ?
 
awamu hii tusingekuwa na waziri mkuu na huyu mama tanzania ingepotea kwenye ramani ya dunia ,,,,,,,,,,,,,,
huyu jamaa anaweza kutuchamba tu kuna mto ngono sijui blablabla unadhani anaweza kuongea nini international?
[emoji56]
 
Salaam,
Natambua kwamba nafasi ya Makamu wa Rais imetajwa katika Sehemu ya Pill ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 47(1) nanukuu Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye ndiye atakuwa msaidizi mkuu wa rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla na hususani.

a) atamsaidia rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hats siku za mambo ya Muungano
b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na rais
c) atafanya kazi zote za rais kama rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.Mwisho wa kunukuu

Tangu tuanze kuwa na makamu wa rais asiye rais wa Zanzibar pia, nafasi hiyo imekuwa mama ya kuwafurahisha watu wa Zanzibar, haina nguvu wala mvuto. Waziri Mkuu anaonekana kama anamsaidia rais vizuri na kwa ufanisi zaidi kuliko makamu wake, Ana sauti, nguvu na mamlaka.

Akitoa maagizo yanafuatwa. Kuna haja gani tena ya kuwa na makamu wa rais? Ni matumizi mabaya ya rasilimali, tunapoteza fedha. Naona ofisi ya makamu wa rais ina waziri anayeshughulika na Muungano na Mazingira.

Mazingira ni active zaidi kuliko muungano. Makamu wa Rais ni kama anapuuzwa. Fikiria kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,anagoma kutekeleza maagizo ya bosi wake kuhusu itifaki inakuwaje?

Nafasi hii napendekeza ifutwe. PM anatosha.
We jamaa Ulikua unafikiria Haya ukiwa chooni au,,, coz Hakuna Cha maana Hapo ulichozungumza,,, kafikirie Tena ndio urudi, inaonyesha kidogo unaweza chambua kitu ila Hapo ulipotea
 
Chadema visa sana!

Yaani Ofisi ya Makamu wa Rais ifutwe kwa kuwa Lema hajapewa Fursa ya kupiga Soga Msibani!

Ule Msiba wa Kitaifa uliitishwa na Serikali ya CCM na wao si waitishe Matanga ya Kitaifa waongee mpaka wachoke na wamnyime nafasi ya kuongea Mkuu wa Mkoa?
Sas wew jamaa ndio umeleta jibu kwa nin Kuna uzi usiokuwa na akili kama huu uliopostiwa,,, visa vitawaponza chadema embu jitaidini kuwaza vitu vyenye msingiii
 
Salaam,
Natambua kwamba nafasi ya Makamu wa Rais imetajwa katika Sehemu ya Pill ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 47(1) nanukuu Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye ndiye atakuwa msaidizi mkuu wa rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla na hususani.

a) atamsaidia rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hats siku za mambo ya Muungano
b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na rais
c) atafanya kazi zote za rais kama rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.Mwisho wa kunukuu

Tangu tuanze kuwa na makamu wa rais asiye rais wa Zanzibar pia, nafasi hiyo imekuwa mama ya kuwafurahisha watu wa Zanzibar, haina nguvu wala mvuto. Waziri Mkuu anaonekana kama anamsaidia rais vizuri na kwa ufanisi zaidi kuliko makamu wake, Ana sauti, nguvu na mamlaka.

Akitoa maagizo yanafuatwa. Kuna haja gani tena ya kuwa na makamu wa rais? Ni matumizi mabaya ya rasilimali, tunapoteza fedha. Naona ofisi ya makamu wa rais ina waziri anayeshughulika na Muungano na Mazingira.

Mazingira ni active zaidi kuliko muungano. Makamu wa Rais ni kama anapuuzwa. Fikiria kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,anagoma kutekeleza maagizo ya bosi wake kuhusu itifaki inakuwaje?

Nafasi hii napendekeza ifutwe. PM anatosha.
Ifutwe kwa sab amepuuzwa na mh gambo au kwa sab haina tija? Hebu weka sababu ya kueleweka.
 
We jamaa Ulikua unafikiria Haya ukiwa chooni au,,, coz Hakuna Cha maana Hapo ulichozungumza,,, kafikirie Tena ndio urudi, inaonyesha kidogo unaweza chambua kitu ila Hapo ulipotea
Hoja nzito kama hii hujibiwa kwa hoja , si kwa mapovu , umewekewa hadi vifungu vya katiba lakini huelewi tu , tukusaidieje sasa ?
 
Dr.Omary.A.Juma was a functioning vice president hawa tu tunaopewa sasa ndo wanatatzo even shein he was to some extent
...ndo manake, hawa wa sahivi kazi zao ndo kama hizi.., na wao wameridhika nazo kweli kweli hawa wazenji wa watu..
1494591824984.png
1494591838223.png
1494591850336.png
1494592304073.png
1494592317019.png
 
Kaekwa ili wazanzibar wasiongee Sana kuhusu kuonewax2, Apo mwanzo makamo wa RAIS alikuwa RAIS wa Zanzibar. Ila wakabadilisha
 
Nafasi ambayo haipaswi kuwepo kwa jinsi muundo wa serikali yetu ulivyo, ni nafasi ya waziri mkuu.

Nchi zenye kuwa na Rais mtendaji (executive president), nafasi ya waziri mkuu haipo.Rais wetu ndiye mkuu wa nchi na serikali (head of state & government), na kiufupi ndiye mtendaji mkuu wa serikali.

Makamu wa rais ni nafasi muhimu kuwepo, mbali na kumwakilisha rais, makamu ndiye rais ikiwa patotakea rais ametoka madarakani kabla ya muda wake na kabla ya kufanyika uchaguzi mwingine.Bila hivyo, kukitokea la kutokea, kunaweza kuwa na kugawana mbavu.
 
Hakuna sehemu yeyote duniani kukawa na cheo cha Rais pasiwe na cheo cha makamu wa Rais maana structure ya viongozi wakuu ni 3 na ndio mifumo ya utawala Dunian
1 Rais lazima kuwepo na makamu wake kama msaidizi wa Rais kwani kunawezekana Rais kufariki au kuwa nje ya majukumu (mgonjwa)au nje ya Nchi

2 Mfalme kukiwa na mfalme cheo kinachofata ni waziri mkuu hapawezi kuwa na mfalme then kukawa na cheo cha Rais
3 Chancellor huyu ni mtendaji mkuu wa majukumu ya serikali lakini kukiwa na Chancellor kunaweza kuwa na Rais au Mfalme lakini wanakuwa hawana maamuzi ya moja kwa moja kwa Serikali

Kwa Tanganyika vyeo vya kutoa ni wakuu wa mikoa na wakuu wa Wilaya kwani Mkurugenzi au mameya wanaweza fanya majukumu yao
Hapa ndipo tumefikia hatuna budi kudai katiba itakayo endana na wakati tulionao. Honestly cheo cha VP kwa katiba hii less functioning. Kwa Sababu katika presidential government na non-presidential government hii aina ya serekari yetu haipo upande wowote.
 
Mkuu, ongeza upeo kabla ya hitimisho!
 
Back
Top Bottom