Recent content by masanzakona

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mjengo Mpya wa Zamaradi Mketema

    Naipenda Jumamosi Yangu imeshapostiwa kule entertainment...?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Mama Naomi kaligoroka haswaa, yaani afadhari ya marino. Mama naomi anaringia utajiri kwao wa mali na matusi......anadhani ndoa inaendeshwa kwa matusi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Arusha - Moshi hapana aisee, barabara nyembamba sana ile jioni msongamano wa magari, magari yanatembea kama yanaenda harusini[emoji846][emoji846][emoji846]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Dodoma - morogoro bana, khaaaa! Ukisinzia ukiamka kilosa, kilosa, kilosa weee......mvomero, ni parefu sipapendi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Watu hampendi maombi, sijui kwa nini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bingwa Afcon

    Naziona dalili zote za Algeria kuchukua kombe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wauawa Somalia, yumo Mahad Nur wa City Mall

    [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

    Nikajua vumbi la Congo limehusika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Lazima vikao vya usuluhishi vifanyike kanisani au baraza la kata, kanisani wakishindwa kuwasuluhisha ndio watawapa go ahead ya kwenda mahakamani labda kama kuna short cut zingine ambazo anaweza kufanya lakini kisheria ni kama nilivyosema hapo juu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Cameraman wa TBC1, JWTZ ila pole sana kwa huyu Mlinzi Mlalavi wa Rais JPM kutoka PSU

    Bila kuweka picha ya malalvi itakuwa ni wivu tu[emoji18][emoji18][emoji23]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

    Sio mpare....[emoji848][emoji848][emoji848]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

    Kweli kabisa, ogopa mwanaume bahili, hawezi hata kutoa hela ya pedi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

    Mimi siwezi kwakweli, nitakuvumilia kwa muda ila ubahili na uchoyo ukizidi nakupiga chini faster, mwanume anatoka asubuhi anarudi usiku hajaacha hata mia, huko njiani hata machungwa ya buku hayahoni, akifika anataka msosi...hiiiiiii bebeshi[emoji28][emoji28] in magu's voice Ulikosea tangu enzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu dada, ni Mzuri wa Sura,Umbo na Rangi. Lakini Usiku silali Kabisa

    Pole though unapaswa kumsaidia. Moja ninachofikiria yawezekana ana nyama za puani, huwa zinasababisha mtu kukoroma, Pili kutokana na hizo nyama labda alishafanyiwa operation kuziondoa lkn kukoroma huwa hakuishi kabisa Tatu sina uhakika sana yawezekana ana pumu kuna wachache huwa inawasababisha...
Back
Top Bottom