Hongera sana Kamanda Lwakatare kwa harakati. Namkubali sana huyu jembe. Ana nyota ya kipekee sana. Magamba wanamsaka sana,kumtuhumu na ugaidi kwa sababu wanatambua uwezo wake mkubwa wa kiinteligensia.
Mungu amtangulie sana huyu Kamanda. Mengi yatasemwa lakini lengo ni kumkomboa mwananchibwa...
This only happens in Tanzania.
Jana wakati naangalia taarifa ya habari ITV, Jonas na Dr.Lucy walijieleza.
Nilichoanalyse,Jonas ni kijana mwenye dharau na kwa elimu yangu niliyonayo juu ya matumizi ya silaha,KAMWE SILAHA HAIWEZI KUJIFYATUA.NEVER!!
sasa,kwa distraction aliyopelekea kwa wakazi...
Huyu dada kajidhalilisha sanaa.
I hop wengine hawatarudia tena.
CCM haina mwema hata mmoja,kila mahala wanafanya wizi,uwongo,ujinga.
Ni sauti za watz zimemfanya ajiuzulu,vivyo hivyo tuanze kupigia kelele maswala ya msingi zaidi.
Kiukweli Hii programu inalipotezea taifa pesa nyingu bila msingi wowote.
Huwa nashangaa sana, ni akina nani wenye akili tope hukaa na kubuni hizi sera hovyo.
Malengo yake siyaoni hata kidogo yakitimia. Vijana wa Operation Miaka 50 wamerudi..hakuna cha uzalendo,wala ukakamavu,wala nidhamu,wala...
Me nina Bro wangu alikuwa karibu sana na Hasheem huko Houston..Kijana amekuwa mvivu,kalewa sifa,kalewa 200/=..hana discipline na uuza sura mwingi.hizo ni baadhi ya sababu za kutemwa na Pistons.
Jana,katika kesi iliyokuwa na mvuto mkubwa duniani..Mwanariadha Pistorious anayedaiwa kumuua mpenzi wake bila kukusudia huko South Africa siku ya wapendanao mwaka jana..amehukumiwa miaka 5 jela.
Ukirudi hapa kwetu,yupo msanii Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ana mashtaka yanayataka kufanana na...
NAOMBA HUYU MTU AWE ANAPUUZWA.
nimekuwa nikifuatikia comments zako,una ushabiki wa kipumbavu.
Fanya tu shughuli zingine hapa uwaachie wanaoweza kutumia akili kufikiri.
Please Dr.Slaa dont give up..this nation needs you like no other.
I promise kuchangia campaign za Dr.Slaa mwakani kwa gharama yoyote na tutalinda kila kura.
speech yake imenisisimua mwili hadi roho.
God bless this Man who goes beyond INCREDIBLE.
Kwa kweli channel ya CLOUDS ina waandishi wasiyo na maadili.
Sijui inaajiri wavuta bangi tu au vipi,sielewi kwa kweli.
Hii siyo mara ya kwanza kwa huyo kijana kukashifu watu.
Nadhani hiyo channel haina usimamizi bora kuwakanya..
Alafu eti "VIJANA TUPEWE FURSA".kwa vigezo kama hivyoo?
Huyo...
Au Pesa inaandaliwa kwa ajili ya campaign za mwakani??
Wamefilisi Mifuko ya Pensheni, wamefilisi Mishahara ya wazee wetu,wamefilisi kodi zetu,wamefilisi kodi za wawekezaji, wamefilisi mabilioni ya kilimo kwanza, wamefilisi MAPESA YA NCHI..wanataka kutufilisi na sisi?? HAIWEZEKANI.
LAZIMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.