Kamanda Halima Mdee kutikisa Bukoba Mjini leo

Kamanda Halima Mdee kutikisa Bukoba Mjini leo

Wanazuia kwa ajili ya usalama wa viongozi wa CDM akiwamo halima mdee kwamba wakifanya mkutano watadhurika. !.

Ajabu wanapoona mkutano unaaendelea bila madhara wao polisi ndio wanaanza kurusha mabomu ya machozi na risasi za moto kusababisha vurugu na uvunjifu wa amani. Policcm hao, walinzi wa amani.!

Mungu Yuko Hai Milele!.

Sasa nimejua kwanini polisi wanazuia mikutano ya Mh Halima Mdee .
 
Ukiweza kusoma sura zao, utaona tofauti kubwa sana na wale wanawake wa ccm wanaosombagwa na malori wakiwa wamevaa sare.

Hawa ni wananchi na si wanachama hawa. Wanajali sera na sare kwao si hoja!.

Hawa wanawake wanaonyesha uhalisia na kumaanisha wakati wa ccm wanaonekanaga kishabiki na kishangingi tu.

Hawa wa hapa wanaonakana ni watu wa amani na nia ya dhati wakati wale wa ccm huwa wamekaa kishari huku sura zimejaa hila.

Ninaona mwonekano wa kujali suala zima la maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla kinyume na wale wa ccm ambao huwa wanaonyesha ubinafsi na manipulation.

POLISI WAACHENI WATANZANIA WAJENGE NCHI YAO. MKIENDEEA HIVI MUNGU ATAWAHUKUMU MSIPATE WAKILI WALA MAHALA PA KU APPEAL.

B1K341zCMAA_TJx.jpg

Bila shaka hawa kina Mama walifika katika mkutano wa Mdee bila kubebwa na Malori,bila kuwepo wasanii wa kutumbuiza mkutano....walichofuata ni ujumbe na si vinginevyo.
 
Slowly Tibaijuka atajua kwa nini Mdee yuko Chadema . UWT najua wanawaza hongo tu oh kuna VICOBA nk ndiyo sera yao these days .
 
ndo natokea bk kila kijiwe walikuwa wanamjadili mdee japo kihaya hakipandi ila nilikuwa nasikia jina mdee mdee nikajua tayari dawa imewaingia

kumbe hujui kihaya inawezekana walikua wanase mdee ni k haba
 
Hata ukijua sasa haisaidii kitu mana bado CCM wanajambaza na ujambazi wao
baada ya kuju a hilo 2015 ni ama zao ama za wananchi period hatuwezi kuachia nchi michwa wajaze matumbo yao na wana wao, wake zao koo zao tunapitwa kimaendeleo hata nchi zilizokuwa vitani kwa uroho wa MACCM
 
Ukiweza kusoma sura zao, utaona tofauti kubwa sana na wale wanawake wa ccm wanaosombagwa na malori wakiwa wamevaa sare.

Hawa ni wananchi na si wanachama hawa. Wanajali sera na sare kwao si hoja!.

Hawa wanawake wanaonyesha uhalisia na kumaanisha wakati wa ccm wanaonekanaga kishabiki na kishangingi tu.

Hawa wa hapa wanaonakana ni watu wa amani na nia ya dhati wakati wale wa ccm huwa wamekaa kishari huku sura zimejaa hila.

Ninaona mwonekano wa kujali suala zima la maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla kinyume na wale wa ccm ambao huwa wanaonyesha ubinafsi na manipulation.

POLISI WAACHENI WATANZANIA WAJENGE NCHI YAO. MKIENDEEA HIVI MUNGU ATAWAHUKUMU MSIPATE WAKILI WALA MAHALA PA KU APPEAL.

Aiseee hii nimeipenda.
 
Bado jamaangu umeachwa na wakat: wasomi ndo wanaleta ukombo mpya nyie wazeee wazaman mnaturudisha nyuma kwakauri ccm kawazaa,kawalea na kawakuza tafadhari badilika huu ndo mda
 
Ningetamani uwepo MDAHALO WA WENYEVITI WA WANAWAKE WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA' Hasahasa.. HALIMA MDEE vs SOPHIA SIMBA tuwapime na kutathmini uwezo na utayari wao wa kuwasaidia wakinamama wa Tanzania

huyo Sophia simba sitaji hata kumuona...hata hivo hawezi kusimama na Mdee....atakosa cha kusema
 
60.jpg

2.jpg

Ama kweli Bukoba ipo tayari kwa mabadiliko.
 
Ninapopata taarifa kama hizi moyo wangu unakuwa na furaha sana....Viva Halima Mdee, Viva Chadema...Viva..UKAWA...

2015...............CCM.............................MUST.....................................GO
Mtaji wa CCM ni nguzo mbili: 1. Wanawake, 2. Sehemu za vijini. UKAWA/CHADEMA wakizivunja nguzo hizo mengine ni mteremko. Lakini ingekuwa vizuri zaidi kama UKAWA ungeanza kuonekana kwa wananchi kuanzia sasa. Badala ya kila chama kufanya harakati zake kivyake wangefanya pamoja.
 
Hongera sana Kamanda Lwakatare kwa harakati. Namkubali sana huyu jembe. Ana nyota ya kipekee sana. Magamba wanamsaka sana,kumtuhumu na ugaidi kwa sababu wanatambua uwezo wake mkubwa wa kiinteligensia.
Mungu amtangulie sana huyu Kamanda. Mengi yatasemwa lakini lengo ni kumkomboa mwananchibwa Tanganyika.
Viva CHADEMA,VIVA LWAKATARE,VIVA MDEEE.
 
Back
Top Bottom