Recent content by martyn

  1. M

    JamiiForums Tanzania Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

    Explain about your self Differences between data and information Swali la tatu sikumbuki vizuri lakini lilikuwa lina na maana ya kuwa kama computer haitafanyiwa maintanance kwa wakati kutakuwa na matokeo gani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kujua jinsi ya kupandisha (kupiga window) kwenye computer bila kutumia CD

    ndio katika options ambazo ukishairun hiyo rufus kwenye format options utaweka hiyo ntfs kwasababu kawaida flash inakuwa katika FAT32(default) utaicommand button ya start utasubilia kwa muda kidogo mpaka finish lakini make sure boot option hapo mwanzoni umeselect Disk or iso image na utaenda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kujua jinsi ya kupandisha (kupiga window) kwenye computer bila kutumia CD

    mbona wadau hapo juu wameeleza vizuri,rufus kazi yake ni kutengeneza hiyo image ya window ambayo umewekewa hapo na chief mkwawa udownload,hakuna haja ya powerIso sababu tayari hilo file la windowl limeshatengenezwa katika mfumo wa image hapo ww kazi yako ni kudownload hiyo image na hiyo software...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    mkuu vipi ushauza kama vipi ni inbox no.yako tufanye biashara
  5. M

    JamiiForums Tanzania Step by step nilivyo agiza bidhaa kutoka AliExpress

    unafanyaje hapo kama hauna sanduku la posta.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa simu janja mpya ya bei nafuu kutoka Samsung

    ok hapo sawa nitachki hiyo Redmi Note 7 nasikia iko vizuri lakini tatizo upatikanaji kwa hapa bongo changamoto, nikiagizia online inifikie kwa muda chini ya wiki mbili inaweza nigharimu bei gani ya 4gb ram na 64gb internal kusubilia mwezi mzima shida.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa simu janja mpya ya bei nafuu kutoka Samsung

    mkuu kwa bajeti hiyo ya laki tano simu gani aina ya xiomi naweza kupata kwa kuangalia ubora wa hivyo vitu alivyoainisha mdau uliemshauli achukue A20
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hii ni aina gani ya xiomi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimejisajiri na hao 1Xbet nikilog in wananiambia wrong password
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Uliinunulia wapi hiyo simu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siongei na Mbwa Bali Mwenye Mbwa. Hii Ilikuwa Kauli Ya Tajiri Gani?

    Hata yule aliekuwa meya wa ilala alishatoa kauli kama hii kwa mh kipindi waziri wa ujenzi walitofautiana kwenye inshu ya mabango ya barabarani yaliyokuwa kwenye wilaya yake
  12. M

    JamiiForums Tanzania Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

    Sawa mkuu nitajitaidi niitafute ingawa nadhani madukani hapa dar kuipata kwa saizi itakuwa ngumu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

    Ok nilikuwa namaanisha one plus 5
  14. M

    JamiiForums Tanzania Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

    Kwa simu ya one plus inaweza ikanifaa kwa sifa hizi nimetokea kuikubali hii simu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simu mpya za kuvutia Juni 2017

    Unazungumzia samsung toleo gani nadhani huwezi kulinganisha lg g6 na samsung s3
Back
Top Bottom