Simu mpya za kuvutia Juni 2017

Simu mpya za kuvutia Juni 2017

Mkuu naomba usinitag tag na hya naujinga yako. Kma unaposta we si upost tu way unitag mimi.
cjaku tag nimeku reply tofautisha kati ya kutag na ku reply nway pole mkuu kwa povu pumzika kaka cdhan kama ilikuwa kwa ubaya may u forgive me mm nilikuwa nafanya ili kupeana ufaham ungekuwa na hoja ningekuelewa
 
Hoja ni kuwa hakuna simu ya kutisha apo. Over. Y unanilazimisha sasa?
 
Yap uko vizuri Mkuu..sikusoma post yako before..kumbe haya ni matoleo ya June 2017..

Nimewahi kutumia HTC miaka ya nyuma kidogo..
Nilikutana na tatizo la uwezo wa simu, capacity/internal RUM ya simu hiyo ilikuwa ndogo, kitu kilicho nifanya nichukie Simu hiyo mpaka leo...

Naona na hapa umeweka Logo ya Simu pekee, si vibaya ukaingia deep, tuwekee japo spesifications kama inawezekana, tupate kujua na kilichomo ndani yake...

Samahani kama nitakukwaza...
 
specifications nimeweka baadhi kaka kwenye hzo picha
 
Hapo mkuu unapozungumzia hiyo mid range price sijajua unamaanisha kuanzia bei gani kwasababu kama lg 6, oneplus 5 na oppo R11 hizi nadhani sio chini ya 1 million kwenye maduka ya tz
 
SAMSUNG NDIO SIM ZENYE AKILI ZILIZOBAKI ZOTE MAKOPO LABDA KIDOGO I PHONE
 
Hapo mkuu unapozungumzia hiyo mid range price sijajua unamaanisha kuanzia bei gani kwasababu kama lg 6, oneplus 5 na oppo R11 hizi nadhani sio chini ya 1 million kwenye maduka ya tz
yaaah ni mid range kaka sabab ni kuanzia dollar 300 hadi 600 lakin zenye price zaid ya hicho kiasi zinakuwa kwenye expensive
65886bcb04e8d0a02c9bd7d95d138f34.jpg
 
mkuu mimi nikubaliane na wewe na nipinge baadhi.

zinazostahili kuwa hapo
-one plus 5
-xiaomi mi 6 (japo imetoka mda)
-huawei Honor v9
-HTC U11

hizo zinastahili sababu zinatumia highend soc yaani snapdragon 835 na kirin 960.

ambazo ni 50/50
hizi unaweza usiziweke au uzieke ila zina mushkeli
-lg g6+ sababu inatumia soc ya mwaka jana snapdragon 821
-oppo R11 plus inatumia snapdragon 660 sio level za sd835 hivyo haziwezi ekwa pamoja, ila sd660 ni cpu nzuri sana tena sana kwa bei ya chini ya dola 500.

ambazo hazistahili kabisa
-Huawei p9 lite, mkuu hii sijui inafanya nini hapo, ni low end haina hata hadhi ya kuitwa midrange nzuri, labda tuseme low to mid. kila kitu chake ni kidogo kuanzia soc, ram, display etc
 
Tunahitaji specifications sio picha.Wajanja hawanunui muonekano wa simu
 
mkuu mimi nikubaliane na wewe na nipinge baadhi.

zinazostahili kuwa hapo
-one plus 5
-xiaomi mi 6 (japo imetoka mda)
-huawei Honor v9
-HTC U11

hizo zinastahili sababu zinatumia highend soc yaani snapdragon 835 na kirin 960.

ambazo ni 50/50
hizi unaweza usiziweke au uzieke ila zina mushkeli
-lg g6+ sababu inatumia soc ya mwaka jana snapdragon 821
-oppo R11 plus inatumia snapdragon 660 sio level za sd835 hivyo haziwezi ekwa pamoja, ila sd660 ni cpu nzuri sana tena sana kwa bei ya chini ya dola 500.

ambazo hazistahili kabisa
-Huawei p9 lite, mkuu hii sijui inafanya nini hapo, ni low end haina hata hadhi ya kuitwa midrange nzuri, labda tuseme low to mid. kila kitu chake ni kidogo kuanzia soc, ram, display etc
kweli kaka hvi ndvyo inavyostahili kuonesha strength na weakness kwa kutumia hoja hii huawei p9 plus nimeweka kwa kigezo cha muonekano khs specifications kwel haifai kuwa hapa lakini hii oppo kwenye specifications nyingine kama ram, rom, camera, resolution ya 1080x1920 pixels, battery capacity ya 3800 mAh, ameloid display na vingne wamejitahd tatzo ni processor cjui kwa nn wame2mia processor ya zaman ambayo haiendan na current competetion...
 
Kaka uhawei P9 plusi ni flagship ya mwaka jana ipo pouwa,labda kama nilivyoona kwenye bandiko lako unazungumzia p9 lite ihi ni midrange.
 
Ndyo maana nkasema wewe mgen kwenye simu. Kuna simu zimekuwa released miezi mitatu nyuma zina spec kuzidi hizi. Wewe unaambiwa hakuna kipya hapa unaendelea kubishana tu. Hata hujielewi. Alfu nsijekuta nabishana na mtoto wa shule apa.. shit
heheh mtoto wa shule aliyepewa ujauzito?? tih tih tih
 
kweli kaka hvi ndvyo inavyostahili kuonesha strength na weakness kwa kutumia hoja hii huawei p9 plus nimeweka kwa kigezo cha muonekano khs specifications kwel haifai kuwa hapa lakini hii oppo kwenye specifications nyingine kama ram, rom, camera, resolution ya 1080x1920 pixels, battery capacity ya 3800 mAh, ameloid display na vingne wamejitahd tatzo ni processor cjui kwa nn wame2mia processor ya zaman ambayo haiendan na current competetion...
sio ya zamani mkuu ni mpya imetoka mwezi wa 5 hio snapdragon 660 ambayo ipo kwenyr hio oppo, ila sio processor/soc ya flagship, ni ya midrange. yani kwa snapdragon 800 series ndio zipo juu kama vile snapdragon 835, 821, 820 etc na 600 series ni cpu za kati za midrange kama vile 660, 650, 630, 625 etc na 400 series zinacover low mpaka midrange kama 410, 420, 430 etc wakati 200 series ndio za chini kabisa kama 210
 
I gat u bro...
 
cjaku tag nimeku reply tofautisha kati ya kutag na ku reply nway pole mkuu kwa povu pumzika kaka cdhan kama ilikuwa kwa ubaya may u forgive me mm nilikuwa nafanya ili kupeana ufaham ungekuwa na hoja ningekuelewa
Daaah kama hajui tofauti ya Ku tag na Ku reply sasa atajuaje maswala ya simu tena? Mana heading inajieleza sema ameamaua kujitia uchizi tu hakuna kingine
 
ndo watanzania 2livyo kaka anaongea bila hoja ndo akili zetu hazikua mbna Chief-Mkwawa kanielekeza baadhi ya vi2 nimemuelewa na nimepata ki2 kipya
 
Back
Top Bottom