Kama ni mpenzi wa movie waweza cheki spartan na 300 Rise of Empire ni movies mbili zinazoshahabiana zinaelezea mtiririko wa ulichokizungumza mtoa uzi.
Ahsante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hopeless man,
Nenda kwenye jopo lenye dhamana ya upelelezi wa kesi ya TL ukasaidie ushahid.
Ndio njia pekee ya kuwa honoured unless otherwise ww ni coward.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unafeel kupungukiwa bila huyo mwanamke,
Kuwa na imani ya kumpata kama ukijipanga vema kimaisha(uchumi) akimaliza akukute mtu wa tabaka fulan, jipange mara 3 kwa mwez kumtembelea kama chuo karibu kila weekend ni bahati sana kumaliza chuo akiwa na tabia yake ya sasa.
Chuoni wanakuwaga...
Kweli unalengo la kutoa proof,
Lakini umefeli kushawishi umma kupitia maelezo yako.
!"System inatumia njia nyingi kuwaondoa ant-system lakini sio njia kama lissu"!
Inawezeka ikawa ni system imebadili plan.
Siombi iwe hivyo maana tunakwenda pabaya. Mungu awatangulie polisi ktk upelelez ili HAKI...
Mtoa uzi nafikiri nenda Kwa RPC DODOMA ukatoe maelezo kusaidia uchunguzi.
Maana ni wazi kuwa mawazo yako yana sound.
Jumapili njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema kwa ccm Kutambua na kutoa pole kwa mwanasiasa mwenzao mh.Lissu ktk matatizo yaliyomkabiri.
Dosari ktk tar. Tajwa yaweza kuwa typing error.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mini kinachokupa sababu ya kusema hivi.
Manama sababu ya shambulio inaweza kuwa tofauti.
Tusubiri matamko rasmi kutoka vyombo vya Dola.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.