Recent content by MARTIAL20

  1. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

    Yaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta
  2. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Virefu vya majina ya wasanii

    Upuuzi tu
  3. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Abracadabra… skoll swi… etat de civil… andrada…. Loi album yote … ultimatum album yote… inshallah album yote.. aiseee sijui nikwambie nini kwa QUADRA KORA MAN..
  4. MARTIAL20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hizi number plate zenu mnanitutia aibu Afrika Mashariki

    Nadhani kwa swala la plate number bora ni South Africa ila kenya aisee ni uchafu
  5. MARTIAL20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwendokasi kuna pisi kali; ninunue tu gari maana vishawishi vinanizidi nguvu

    Kituo cha mwendokasi korogwe sio haba kwa pisi kali
  6. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Hivi V8 ya Ray Kigosi aliyomjibu marehemu Kanumba bado ipo?

    Ray anamiliki harrier tako la nyani ya silver kwa ushahidi zaidi nenda magomeni pale lango la jiji kuna saloon ya bitego ndio anapendelea kuwa pale Period
  7. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa la NASDAQ linaelekea kaburini huko Marekani

    Kwa hiyo forex inaweza kuwa mwisho wake au
  8. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Kitengule Tegeta Kibaoni ni hospitali ya hovyo

    mshukukuru MUNGU bhana hao madaktari ni sababu ya wewe tu kupona ila sifa zote ni MUNGU.
  9. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Ndizi mzuzu zinauzwa bei gani huko mikoani?

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  10. MARTIAL20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kike

    Wa kike au LIKE [emoji848]
  11. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Halafu mtu unjiita UPTODATE [emoji3][emoji3]
  12. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa kiarabu na kisomali wananuka miguu

    Acha chuki kijana uishi maisha ya Amani Huu ni uzushi kama usushi mwingine tu.
  13. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa kiarabu na kisomali wananuka miguu

    Mimi sijawahi kusikia hii kitu Mtoa mada kama una chuki nao weka wazi tu.. [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
  14. MARTIAL20

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Wewe unajua umebakiza siku ngapi kuishi....angalia usije ukamuacha bro Kifo ni fumbo shauri yako
  15. MARTIAL20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeachana na mchepuko wangu

Back
Top Bottom