Soko la hisa la NASDAQ linaelekea kaburini huko Marekani

Soko la hisa la NASDAQ linaelekea kaburini huko Marekani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,762
Reaction score
37,392
Mambo sio mazuri na inaweza kuwa historia ya pekee katika masoko makubwa ya hisa kufa kama hilo NASDAQ ambalo ni soko la pili lenye mtaji mkubwa wa hisa .

Soko hili liloanzishwa mwaka 1971 na kuwa sehemu ya waendeshaji wa hisa kubwa jijini New york city.

Kwa wale tunao trade kwenye forex wanaweza kufahamu masoko mtakuwa mshafahamu jinsi forex inavotumia wakati kwenye soko la hisa.

Kwa kweli hivi vita na matarajio yanaweza kuwa mabaya sana

IMG_6648.jpg

IMG_6647.jpg
 
Kwa hiyo forex inaweza kuwa mwisho wake au

ukisema ni mwisho sawa na ujilinganishe na pesa yetu sawa na USA.

Forex maana yake Forign Exchange (mabadilishano hiwe pesa,thamani na n.k)

makampuni ya hisa yanaweza kushikilia hata dhamana ya kitu chochote katika hisa na ndio maana hata hapa tanzania tunatumia DSE (dar es salaam stock exchange).
 
Back
Top Bottom