Recent content by Marten steven

  1. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Aliye toa hilo tangazo ni mwehu.
  2. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Huyo nae ni chinchira
  3. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yameurarua moyo wangu

    Mpotezeee
  4. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Napinga kuajiri kwa vigezo vya GPA.

    Halafu nyie mnao leta maneno yasiyo na verification mkome na ushenzi wenu, toeni habari zenye uhakika na udhibitisho.
  5. Marten steven

    JamiiForums Tanzania GPA hazifai kutumika ktk kuajiri wahadhiri na wahadhiri wasaidizi

    Tatizo lenu hamjui kuwa hamjui, ila mgekuwa mnajua kuwa hamjui wala msingesumbuka sana juu ya mambo hayo.
  6. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Serikali yawakana waajiriwa wapya 3,000 wa mwezi June 2016. Yachukua maamuzi ya kuwafuta kazi

    Hiii ndo nchi yetu, wenye nacho wanazidi kuwabana wanyonge, hadi sasa hivi sijui wanasubilia nini kutangaza hizo ajira mpya ili watu wajipange kwenda mapema kwenda kwenye vituo, matokeo yake wanakuja kutangaza mda umeenda na unapewa siku 7, uwe umelipoti sasa hiii tabia sijui ina maana gani.
  7. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Nunua coaster upige hela, inayo baki jega nyumba ya wapangaji au guest
  8. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu namdai pesa. Sijui nifanyaje anilipe

    We kula nyamaaaaa
  9. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wananchi baada ya mke wa Rais, Janet Magufuli kulazwa Muhimbili

    Mimi sisemi chochote ila serikali inazingua sana,AJIRA mpya ZINAPIGWA KALENDA TU, DU!! YAANI hii NCHI JAMANI, UWIIIIIIII TRUMP UKO WAPI JAMANI[emoji48]
  10. Marten steven

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa T B Joshua uko sahihi, Clinton kashinda ila hajachaguliwa

    Jamani mambo mengine yakuacha kama yalivyo kwani nani anapenda kushindwa kufikia malengo hapa Duniani? Hebu tuache malumbano huu ni mda wa kujijenga wenyewe let the winner be the winner , more over there is no trueth without research.
Back
Top Bottom