KIGOMA-MANYOVU
Member
- May 3, 2014
- 66
- 33
Wewe unae pinga GPA isiwe kigezo unadhani nini kiwe kigezo??? GPA hata kama inakokotolowa tofauti bado ni yardstick inayosaidia kupatikana mtu ambaye ni competent ukiongeza na vigezo vingine kama specialization, experience kwasababu imagine unapata applicants 60, wote wana degree sasa utatumia criteria zipi kuwachuja??? unataka ukabila ndo iwe kigezo???