Mungu wangu jamani nimeumia sana kifo cha Warumi japo simfahamu lakini alikuwa anatupa burudani sana humu jukwaani eeh NIMEUMIA NIMEUMIA NIMEUMIA SANA [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Daah Nilitamani sana Amalize muda wake Yaani miaka yake mitano [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Upumzike kwa amani Rais wetu Jemedari John Pombe Magufuli [emoji120]
Acha kabisa Mkuu niliumwa wiki mbili sitoki nje Yaani unajua maana Yakuumwa ikifika jioni mwili unachemka nikaishia kunywa tangawiz kujifukiza hospitali sijakanyaga hata nilikuwa naogoooopa balaa nilihis Covid lkn mbona alliyekuwa ananiuguza hakuumwa hata kichwa,mwisho nilipona vizuri...
Nilikuwa Arusha halafu malaria ilikuwa imenikamata balaa niliamka kuwasha Tv nikakutana na Wimbo wa TAIFA Huku Mkapa akianza kutangaza habari za Msiba ilikuwa habari ngumu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.