Kwanini radi huwa haziungurumi mida ya asubuhi?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Habari wakuu,

Maeneo mengi ambayo nimewahi Kutembelea msimu was mvua imekuwa nivigumu kusikia radi ikiunguruma mida ya asubuhi (saa moja mpaka saa tatu).

Hili nalishuhudia hasa mikoa ya nyanda za juu kusini maana misimu yote ya mvua huwa nipo huku isipo kuwa msimu wakiangazi tangu nianze mishe mishe zangu karibuni wajuvi wa Mambo.
 
Kabla ya kupata jibu ya hilo swali lako, hebu tueleze ni kwa nini radi huwa haisikiki wakati wa jua au kipindi ambacho si cha mvua?
 
Asubuh radi inakuwa haijanywa chai kwa hyo haiwezi kuunguruma kwa sababu ina njaa

Kwan radi ndo nn
 
We ulisikia wapi? Mimi leo tu zimegonga za kutosha asubuhi huku nilipo, huo utakuwa utafiti wa TWAWEZA
 
Back
Top Bottom