Batuli Actress ana ujumbe huu kwenu wanaume

Batuli Actress ana ujumbe huu kwenu wanaume

Kuna siku alikua akilalamika, hali ngumu akiomba watu mtaji anapewa namba ya room....
hahahah hatari sana

sema nini batuli anakamvuto flani hivi

hata mimi nisikie unawadanga wengine na wanakukula alafu kwangu unataka nikupe mtaji bure bure

aaaaah kwa mtu kama batuli hata mimi nampa namba ya rum tu 😅😅😅
 
Kufanya story iwe short, hapa anatuasa wanaume tuwe tunatuma na ya kutolea. Mi nimemwelewa sana mama mdogo.
 
Wanawake bhana ndio defence mechasim zao hizo utaskia ukinisema mimi ni sawa unamsema mama ako labda sababu wote wana vagina sjui anyway

Fakeni kumanyokoo alisema mpo sawa nani mtu yeyote akikosea au akinikosea haijalishi jinsia lazima nikuchane laivu mamaae
Tangu lini kunguru akafugika
 
Aolewe na yeye aache kubeba waume wa wenzie
 
Wanawake bhana ndio defence mechanisim zao hizo utaskia ukinisema mimi ni sawa unamsema mama ako labda sababu wote wana vagina sjui anyway

Fakeni kumanyokoo alisema mpo sawa nani mtu yeyote akikosea au akinikosea haijalishi jinsia lazima nikuchane laivu mamaae

[emoji15][emoji15]
 
Akileta ujinga anasemwa tu, matusi atatukanwa tu maana hata hao dada zetu hutukanwa na wengine
 
Mpuuzi usimpe makofi mkuu,it's like you are trying to prove you are a man wakati tayari tunajua you are!Mpuuzi dawa yake simple just walk away huku akiendelea kuongea na ikibidi urudi the next day then utaona kama atarudia!
Makofi will never be a solution zaidi kuna siku utaongeza na ngumi mwishoe uue bila kukusudia uishie jela
Keep walking away. Ipo siku utapigwa dole nyuma, then utawalk away ukirudi unapigwa dole unawalk away.

Suluhisho la kutopigana ni kuepuka provocation pekee.

Usinichokoze then ukaamini nita walk away. Tafuta watu wa aina hiyo. I am not one of them.

Hata mataifa makubwa pamoja na kuwa na magwiji wa diplomasia, ikitokea taifa lineleta upuuzi wa kupindukia Jeshi lipo na vifaa vyote kuwaonesha kazi.
 
Taifa sio sawa na mtu,yani umpige mtu kisa kakuprovoke?watu wanaumwa magonjwa hatarishi siku hizi pasipo kusema,sasa imagine unampiga mtu ngumi wakati mapigo yake ya moyo yako below or above normal alafu azime ndo utajua hujui
 
Ukijijua afya mbovu acha kuchokoza watu. Halafu jela ni option na siyo kaburi wala jehanum.

Watu wana uwezo mpaka wa kujinyonga wenyewe ndio waje kuogopa jela

Huzijui jela kwahiyo usitishie watu
 
Kwenu Wanaume, Najua Kuna Wakati Huwa Mnatawaliwa Na Hasira Lakini Kabla Ya Kumtusi Au Kumkashifu Mwanamke Rudi Nyuma Mtazame Mama Yako, Dada Zako Au Hata Mabint Zako Kama Upo Mbali Nao Tazama Picha Zao Kisha Utajua Unatakiwa Kufanya Nini Kwa Mama,Mwanamke Au Bint Wa Wenzio....[emoji1607]
@batuli_actress
"Kwenu Wanawakee, Najua Kuna Wakati Huwa Mnatawaliwa Na tamaa na vishawishi Lakini Kabla Ya Kumshikisha mwanaume ujauzito ambao sio wake, kumfanya danga, kumtukana Au Kumkashifu Mwanaume Rudi Nyuma Mtazame baba Yako, kaka Zako Au Hata vijana Zako Kama Upo Mbali Nao Tazama Picha Zao Kisha Utajua Unatakiwa Kufanya Nini Kwa baba,Mwanaume Au vijana Wa Wenzio"

"Mwamba ngoma uvuta kwake"
 
Ukijijua afya mbovu acha kuchokoza watu. Halafu jela ni option na siyo kaburi wala jehanum.

Watu wana uwezo mpaka wa kujinyonga wenyewe ndio waje kuogopa jela

Huzijui jela kwahiyo usitishie watu
Why nikutishe?as hunijui sikujui so why huhisi nakutisha eti
Afterall mi niliongea kwa niaba ya wengi personally wala sio mgomvi
Nakwambia wewe uache kupiga watu kuna wengine wanaumwa na wala hawajui kama wanaumwa na ukimpiga na likatokea la kutokea hukwepi hukumu
Alafu kama mtu mjeuri unadhan ukimpiga ndo ataacha?ingekua hivyo kungekua hakuna watoto wanaoitwa manunda
 
Why nikutishe?as hunijui sikujui so why huhisi nakutisha eti
Afterall mi niliongea kwa niaba ya wengi personally wala sio mgomvi
Nakwambia wewe uache kupiga watu kuna wengine wanaumwa na wala hawajui kama wanaumwa na ukimpiga na likatokea na kutokea hukwepi hukumu
Alafu kama mtu mjeuri unadhan ukimpiga ndo ataacha?ingekua hivyo kungekua hakuna watoto wanaoitwa manunda
Mimi ukileta ujinga, utakula mabanzi kama kawaida.

Fanya unachoweza
 
Mimi ukileta ujinga, utakula mabanzi kama kawaida.

Fanya unachoweza
Sawa we mlishe tu mabanzi mtoto wa watu
Mi hainihusu wala nini,
Nawe ukizaa wako akiolewa akilishwa mabanzi na akichomwa hata na mkaa uendelee kuwa na moyo huohuo wa uelewa,
 
Back
Top Bottom